Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya sasa ona watu walivyokushambulia na una bahati kubwa lao Mwanamalundi amelala, ungeisoma ila una slighestt chance ya kutoka na Lala 1 , kama una pesa ya runway, mediterrenean, ambassadors ndo ujikamue mwanawane
we nahisi utakuwa mmakonde

Assignment umemaliza au starehe tu?..utarudi kwenu ukauze mahindi kwenye makopo oohh..soma kijanaAsalaam alyuk ndugu zangu leo nmeona / kujickia kutoka na totozi mbili za humu kusherehekea huu mwaka aliyetayari tuwasiliane kwa PM