Husika na kichwa hapo juu, Napenda sana kutulia na demu mmoja lakin nashindwa nimetumia mbinu nyingi lakin wapi najikuta natafuta madem wengine. Bado nikienda batani lazima nitafute dem wa kutoka nae hata kumla. Kiukweli siipendi hii situation Huwa inakuja yenyewe tu. Napenda kutulia na mpenzi mmoja na pia nabahati ya kupata madem wanaonipenda kwa dhati sema wengi wananiacha kwasababu ya tabia zangu hizi za umalata.Naombeni ushauri wana JF nifanyaje ili niweze kutulia na demu mmoja bhasi.
Sent from my iPhone using JamiiForums