INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Msaada wa mawazo
Husika na kichwa hapo juu, napenda sana kutulia na demu mmoja lakini nashindwa. Nimetumia mbinu nyingi lakini wapi, najikuta natafuta madem wengine. Bado nikienda batani lazima nitafute dem wa kutoka naye hata kumla. Kiukweli sipendi hii situation, huwa inakuja yenyewe tu. Napenda kutulia na mpenzi mmoja na pia nabahati ya kupata madem wanaonipenda kwa dhati, sema wengi wananiacha kwa sababu ya tabia zangu hizi za umalaya. Naombeni ushauri wana JF nifanyaje ili niweze kutulia na demu mmoja bhasi.