Msaada wa mawazo
Husika na kichwa hapo juu, Napenda sana kutulia
na demu mmoja lakin nashindwa nimetumia
mbinu nyingi lakin wapi najikuta natafuta madem
wengine. Bado nikienda batani lazima nitafute
dem wa kutoka nae hata kumla. Kiukweli sipendi
hii situation Huwa inakuja yenyewe tu. Napenda
kutulia na mpenzi mmoja na pia nabahati ya
kupata madem wanaonipenda kwa dhati sema
wengi wananiacha kwasababu ya tabia zangu hizi
za umalaya. Naombeni ushauri wana JF nifanyaje
ili niweze kutulia na demu mmoja bhasi.