Nataka nitulie na demu mmoja

Nataka nitulie na demu mmoja

Jitahidi utulie bro kabla ujachelewa pia kaa mbali na vishawishi vinavyofanya utafute mwingine fanya mazoezi kua busy na mambo yako. Pia tafuta mmoja wa kuishi nae. Utaacha tu hiyo tabia bulaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada wa mawazo

Husika na kichwa hapo juu, Napenda sana kutulia
na demu mmoja lakin nashindwa nimetumia
mbinu nyingi lakin wapi najikuta natafuta madem
wengine. Bado nikienda batani lazima nitafute
dem wa kutoka nae hata kumla. Kiukweli sipendi
hii situation Huwa inakuja yenyewe tu. Napenda
kutulia na mpenzi mmoja na pia nabahati ya
kupata madem wanaonipenda kwa dhati sema
wengi wananiacha kwasababu ya tabia zangu hizi
za umalaya. Naombeni ushauri wana JF nifanyaje
ili niweze kutulia na demu mmoja bhasi.
Aiseee
 
Back
Top Bottom