Nataka nitulie na demu mmoja

Nataka nitulie na demu mmoja

Je naruhusiwa kufuatilia Michango ya WADAU?
 
Write your reply...acha kupingana na nature yako we are natural polygamist mwanaume kuwa na demu mmoja huko ni kuzalilisha jinsia yako unless otherwise uwe mwanaume wa dar lakn hata wao hawanaga mmoja basi tutaku term Kama auntie kaoge
 
Husika na kichwa hapo juu, Napenda sana kutulia na demu mmoja lakini nashindwa nimetumia mbinu nyingi lakini wapi najikuta natafuta madem wengine.

Bado nikienda batani lazima nitafute dem wa kutoka nae hata kumla. Kiukweli siipendi hii situation Huwa inakuja yenyewe tu.

Napenda kutulia na mpenzi mmoja na pia nabahati ya kupata mademu wanaonipenda kwa dhati sema wengi wananiacha kwasababu ya tabia zangu hizi za umalata.Naombeni ushauri wana JF nifanyaje ili niweze kutulia na demu mmoja bhasi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Keep yourself very busy na kazi , nahisi itakua njia mbadala, (probably).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora utulie mkuu. Ukiwa mrukarukaji hata maendeleo yako yanakua hafifu kikubwa kumpata mtu atakayekupenda kwa dhati na kukubali kuwa nawe kwenye hali yoyote.

Ninae tyr naona ana direction


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom