mtafute Steve Nyerere na wenzake wanaotupiaga pesa waaandishi wa habari watakusaidia.Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana na nimepitia mengi katika maisha yangu ya kimahusiano. Nimekua na kila aina ya wanawake tangu nilipokua kapuku mpaka leo naweza kwenda 4ways na kulipia bill wateja wote waliopo kwa muda huo.
Kutokana na love life yangu nimeiona ni story nzuri na itauza sana so nahitaji mnipe mbinu na makadirio ya bei ya kuuza story yangu.
Ikitengenezwa kwa muono wangu itakua one of the greatest bongo movie in TZ.
Kijana nikikupa story unaweza lia na kucheka hapo hapoSijafika idadi hiyo. Ila kwa misukosuko na mikasa yaweza kuwa nimekufunika
swalehe lazima akupiteMi nmetembea na wanawake 1254
Je umenizidi ?