Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania hii suala la Rushwa halikwepeki, ndio umekuwa mfumo wa maisha, kama connection ningekuwa nazo wala nisingewahi asubuhi hii kuanza kuwaza muda wa kwendaFuata utaratibu. Huko kutaka connection ndio mnaendeleza vitendo vya rushwa na ufisadi.
Mabadiliko yoyote huanza na wewe.Kwa Tanzania hii suala la Rushwa linachochewa zaidi na viongozi, wengine wanafata nyayo.
SawaMabadiliko yoyote huanza na wewe.
shida wengi tunapenda kwenda kwenye ofisi kama huduma hiyo inatolewa kwetu pekee. Nakumbuka TRA waliwahi sema huduma zao nyingi zinatolewa kwenye mtandao kwanini usiingie huko mpaka uende? wapo wengine hawana ulazima wa kwenda muda huu tra lakini unakuta wamejazana mfano mimi huwa mwezi wa kwanza naenda kadiriwa ilia ukienda kwa sasa sababu ndiyo siku za mwisho kukadiriwa zinakaribia utakuta watu wamejazana mpaka unajiuliza walikuwa wapo january, feb yoye?Naombeni muongozo. Sina connection TRA.
Jana nimeenda mchana kuna foleni kali sana.
Shida yangu ni kupewa tax clearance ya mwaka huu kwa biashara inayoendelea.