chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Na wewe ni maskini?Mleta uzi huwache ukuda umaskini upo Tanzania nzima halfu wewe mwenyewe ni maskini na utuuzima wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni maskini?Mleta uzi huwache ukuda umaskini upo Tanzania nzima halfu wewe mwenyewe ni maskini na utuuzima wako
Siyo mwenyeji kivile ila naishi BukombeMkuu, ww ni mwenyeji wa bukombe?
Nakazia📌🔨📌🔨hapa ni minyororo⛓️⛓️ mizito tunayo katika fikra zetu bado sana😭😭Nchi hii ni masikini Sana kiakili kuliko kifedha. Wasomi kushindwa kujiingizia kipato kupitia taaluma zao na kuanzia kuvia teuzi na nafasi za kisiasa imepelekea kukosekana na watu wa kuifungua jamii. Jamii Yetu bado inamentality ya kupewa na kulelewa na sio kujipambania kimaisha. Akili za misaada badala ya kujitafutia.
Wewe mleta mada kama unakaa mjini na nyumbani kwenu ni kijijini utakubaliana na mimi ukienda kwenu kuwasalimia lazima uende na chenji kadhaa za 1000 na 2000/=. Bila hivyo watakuganda na wengine watalala mlangoni! Hii hali ni Tanzania nzima!Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu.
Kama kawaida, bwana kiongozi akija tunasimamishwa njiani masaa kadha wakadha huku tukisubiri apite huku uzalishaji ukiwa umesimama kumsubiri apite ndio turuhusiwe kuendelea na shughuli zetu.
Kiukweli kabisa toka ndani ya moyo wangu hili suala linanikera sana ni vile sina namna sababu tunaongozwa na watawala, na siyo viongozi.
Nikurudishe kwenye stori yetu kama kichwa kilivyojieleza hapo juu.
Bwana nyumbani kwake huyu Waziri akija tu, wanakijiji na majirani zake husogea kwake kumuomba msaada hii ni tabia imejengeka kila akija lazima watu wajae kwake kumomba msaada wa kifedha, wenye kuomba ada n.k mpaka atakapoondoka ndio na wao huondoka pale nyumbani kwake.
Na ni foleni kumuona pindi unapoenda, polisi hufanya kazi ya kupanga watu namna ya kumuona na husaidiana na wasaidizi wake.
Sasa basi kitu nachoshangaa hawa wananchi ni hii tabia ya kuwa ombaomba. Wanaume kwa wanawake hupiga kambi nyumbani kwa naibu Waziri Mkuu mpaka atakapoondoka na huwapikia wanakula na kusaza ndio maana wamezoea hivyo.
Najiuliza hili taifa tuna watu au kizazi cha aina gani hiki? Tumeshindwa kutumia nguvu na akili hata hizi za mkoloni kujikomboa tumekuwa kama mandondocha yaani mamisukule kwa kuwatumikia watu wenye navyo!!
Nina imani kabisa hili taifa tuliwahi tu kupata uhuru haikuwa sawa kupata miaka hiyo ilitakiwa sasa ndio tuombe au tungechelewa kidogo kuupata uhuru hiki ninachokishuhudia Mungu akiniweka salama sijui nitakijibu nini kizazi cha watoto wangu au kizazi cha vitukuu vyangu.
Maana wataona kama tulikuwa tunaujinga mwingi sana katika kizazi chetu cha karne yetu.
Sihitaji kunukuliwa vibaya kwamba nawatukana au laah lakini hiki nachokiona kinadumaza sana utafutaji kwa jamii hii inayomzunguka Naibu Waziri Mkuu.
Hii imeonyesha ni namna gani CCM inamtaji wa watu wasio na vision wala mawazo mbadala wanavyowatukuza viongozi wanaowachagua baadae hugeuka na kuwatukuza kama bila wao hawaishi au hawawezi fanya chochote.
Ikabidi niulize hii anayofanya anawezaje kuwaletea maendele kama Mh. Anawapikia na kuwa chinjia ng'ombe huoni anawapumbaza kwa chakula washindwe kuhoji maendeleo ya jimboni kwao?
Niko hapa Bukombe sioni maendeleo katika Wilaya hii iwe hapa hapa Ushirombo au Vijijini hakuna kinachofanyika cha maendeleo,
Mama mmoja nikamuuliza, Waziri toka ameingia kuliongoza jimbo hili nini amefanya cha maana au alikuta hakipo akafanya maana naona hakuna kitu cha maana kinachofanyika hapa?
Yule mama kindaki ndaki na shabiki au mfuasi wa CCM akasema yeye amejenga shule za msingi na sekondari akatoa mfano wa shule aliyoijenga Doto Biteko ni shule ya sekondari amejenga inaitwa DOTO BITEKO SEKONDARI SCHOOL nikasema basi inatosha nashukuru tukaachia hapo maongezi.
Miaka 60 ya uhuru unasema Doto kajenga shule ya sekondari tena kaandika jina lake na bado unasema umeletewa maendeleo?? CCM bado wapo sana kwenye hii nchi hawana mpinzani kabisa Mungu aendelee kutusaidia tu ambao tunahitaji uwajibikaji na hatuoni wawajibikaji.
acha upumbavuu asitajwe kwanimi?Umeshindwa kuandika kwa uficho mpaka umemtaja kabisa.
watakaopinga andiko lako wameamua tu. umenena!Mwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu.

Jamaa amekereka na kuumia sana, kaandika kwa dhati kabisa 😃Umeshindwa kuandika kwa uficho mpaka umemtaja kabisa.
Dah mangi umenikumbusha mbali sana nakumbuka vizuri sana siku hiyo nilikuwa miongoni mwa jopo la madelegates wanadiplomasia mwalimu alitutumaMada yako imenikumbusha miaka ya 1975 Chaim Herzog gave a firebrand speech to the UN General Assembly, walijadili kitu kama hiki leo tena nimekiona umekileta tena hapa jamvini
Wee mbusiiiNdio maana juzi Geita nimeona traffic police wengi sana mpaka mida ya saa 3 usiku jambo ambalo sio kawaida. Basi jamaa alilala ka lodge kamoja kakishamba kanaitwa Harvest Hotel hapo Geita Town.
Mkuu haya mambo ni tamaduni za watu, wasukuma wanaamini sana ktk ujamaa. Pia watu wa pwani. Binafsi spending kumoigia magoti mwanaume mwezanguMwezi huu Naibu Waziri Mkuu amepata msiba kwake, amefiwa na shemeji yake kijijini kwake Bulangwa, Jimbo la Bukombe ndio msiba umetokea wa Naibu Waziri Mkuu.