Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Eeh hayo mengine ni nyongeza😃Kabisa...Mambo ya kuwa smart sijui nini..Hayo ni madogo sana kwenye kuwa Gentleman...
Akituma na ya kutolea amefaulu sehemu kubwa sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji817][emoji817][emoji122][emoji122]Ahaaaa!
Mwanetu ndugu bwana Fene...
Cha kwanza, usiwe unakunya waziwazi kama anavyofanya mdwanzi..
Pili, hakikisha ukishaona namna gani vipi we inakuwa vipi tu, kwani vipi, kivipi? Umeona bhana..
Chengine.. unakuwa kidizaini kama unapotezea tu, mtu akisema kama kanyambwanda mwanangu, wewe unamwambia barida tu.
Ujambazi alikuwa hawafanyii mademu mkuu! Fatilia clip za mzee anazochombeza mademu ndo utaelewa vizuriDah kwel
Ngoja nami niige ile mikato ya kijambaz
Kila la kheriNgoja nijarib kwanza u-gentle
Mambo ya kunukia pafyumu bode sipurei mwanaume mambo gani hayo mnatuletea?Piga kazi,heshimu kazi,muda,tafuta pesa
Oga kutwa mara 3
Nukia,perfume na body spray zisikauke ghetto
Vaa simple tu,sio lazima ziwe nguo za brand kubwa kubwa japo zisiwe midosho,form six flan,t_shirt kali kali,jeans na kadet,ila zisiwe oversize[emoji3][emoji38]
Vaa raba,sendals(open shoes) flani za kijanja,buti kali ila zisiwe km zile za Chuga[emoji38][emoji38][emoji38]
Saa mkononi,smartphone ya kijanja mf. Samsung, iPhone,wallet mfukoni,lesso muhimu,sanitizer kujikinga na Uviko_19
Mwisho,ndinga muhimu,km kwa sasa huna daladala zihusike tu,ila kama unaweza kukodi uber,au bodaboda it's OK,though usije skani kutuambia una bodaboda wako[emoji38][emoji38][emoji38] (jokes)
Karibu sn chamani
Nimekupata vzur SheikhPiga kazi,heshimu kazi,muda,tafuta pesa

No, he won't. He wants to impress somebody.will you shit candy? will your fart smell like roses?
Gentlemen are born not created[emoji41]Inakuwaje watu wangu wa nguvu
Ssa wadau kwakuw wana-JamiiForums tumekuwa ni wenye kupeana msaada mbalimbal kimawazo na kivinginevyo,
Leo mwanenu ndugu bwana Fene nimekuja kuchota maarifa ya ki-gentleman
Usisite kutoa mikato yako kwani nikidokoa kimoja kimoja kutoka kwa kila mmoja hatimae nitakuwa gentleman
Fungukeni wadau kwani peni na daftari vipo mkononi mwangu
Mkuu we endelea kukaa namanyele mambo haya huyaweziMambo ya kunukia pafyumu bode sipurei mwanaume mambo gani hayo mnatuletea?
Perfume zisikauke gheto?!, Mwanaume?! Hivi nyie mmekulia wapi?
M mwenyewe najiulza sipati jibu haw wenzetu ni wawapMambo ya kunukia pafyumu bode sipurei mwanaume mambo gani hayo mnatuletea?
Perfume zisikauke gheto?!, Mwanaume?! Hivi nyie mmekulia wapi?