Nataka niwe gentleman, nipeni mikato

Nataka niwe gentleman, nipeni mikato

Ahaaaa!
Mwanetu ndugu bwana Fene...

Cha kwanza, usiwe unakunya waziwazi kama anavyofanya mdwanzi..
Pili, hakikisha ukishaona namna gani vipi we inakuwa vipi tu, kwani vipi, kivipi? Umeona bhana..
Chengine.. unakuwa kidizaini kama unapotezea tu, mtu akisema kama kanyambwanda mwanangu, wewe unamwambia barida tu.
 
Ukiweza kuwa kama Magufuli by 100% utakuwa sukari yao [emoji28]!

Kila manz anapendaga ile calibre...japo analalamika ila hatamani kuondoka,,, ule ndio ujentromeni kweri kweri!
Dah kwel
Ngoja nami niige ile mikato ya kijambaz
 
Ahaaaa!
Mwanetu ndugu bwana Fene...

Cha kwanza, usiwe unakunya waziwazi kama anavyofanya mdwanzi..
Pili, hakikisha ukishaona namna gani vipi we inakuwa vipi tu, kwani vipi, kivipi? Umeona bhana..
Chengine.. unakuwa kidizaini kama unapotezea tu, mtu akisema kama kanyambwanda mwanangu, wewe unamwambia barida tu.
[emoji23][emoji23][emoji817][emoji817][emoji122][emoji122]
 
Piga kazi,heshimu kazi,muda,tafuta pesa
Oga kutwa mara 3
Nukia,perfume na body spray zisikauke ghetto
Vaa simple tu,sio lazima ziwe nguo za brand kubwa kubwa japo zisiwe midosho,form six flan,t_shirt kali kali,jeans na kadet,ila zisiwe oversize[emoji3][emoji38]
Vaa raba,sendals(open shoes) flani za kijanja,buti kali ila zisiwe km zile za Chuga[emoji38][emoji38][emoji38]
Saa mkononi,smartphone ya kijanja mf. Samsung, iPhone,wallet mfukoni,lesso muhimu,sanitizer kujikinga na Uviko_19
Mwisho,ndinga muhimu,km kwa sasa huna daladala zihusike tu,ila kama unaweza kukodi uber,au bodaboda it's OK,though usije skani kutuambia una bodaboda wako[emoji38][emoji38][emoji38] (jokes)
Karibu sn chamani
 
Mambo ya kunukia pafyumu bode sipurei mwanaume mambo gani hayo mnatuletea?

Perfume zisikauke gheto?!, Mwanaume?! Hivi nyie mmekulia wapi?
 
Piga kazi,heshimu kazi,muda,tafuta pesa
Oga kutwa mara 3
Nukia,perfume na body spray zisikauke ghetto
Vaa simple tu,sio lazima ziwe nguo za brand kubwa kubwa japo zisiwe midosho,form six flan,t_shirt kali kali,jeans na kadet,ila zisiwe oversize[emoji3][emoji38]
Vaa raba,sendals(open shoes) flani za kijanja,buti kali ila zisiwe km zile za Chuga[emoji38][emoji38][emoji38]
Saa mkononi,smartphone ya kijanja mf. Samsung, iPhone,wallet mfukoni,lesso muhimu,sanitizer kujikinga na Uviko_19
Mwisho,ndinga muhimu,km kwa sasa huna daladala zihusike tu,ila kama unaweza kukodi uber,au bodaboda it's OK,though usije skani kutuambia una bodaboda wako[emoji38][emoji38][emoji38] (jokes)
Karibu sn chamani
Nimekupata vzur Sheikh
 
Inakuwaje watu wangu wa nguvu

Ssa wadau kwakuw wana-JamiiForums tumekuwa ni wenye kupeana msaada mbalimbal kimawazo na kivinginevyo,
Leo mwanenu ndugu bwana Fene nimekuja kuchota maarifa ya ki-gentleman

Usisite kutoa mikato yako kwani nikidokoa kimoja kimoja kutoka kwa kila mmoja hatimae nitakuwa gentleman

Fungukeni wadau kwani peni na daftari vipo mkononi mwangu
Gentlemen are born not created[emoji41]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Gentleman...... Tafta maana ya gentleman af pitia humo humo.

Hapa tunatofautiana ktk kuutafsiri u gentleman ndo maana unapata majibu tofaut tofauti.....
 
Back
Top Bottom