kwa kazi gani mnazofanya?Kabisa...Mambo ya kuwa smart sijui nini..Hayo ni madogo sana kwenye kuwa Gentleman...
Akituma na ya kutolea amefaulu sehemu kubwa sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kazi gani mnazofanya?Kabisa...Mambo ya kuwa smart sijui nini..Hayo ni madogo sana kwenye kuwa Gentleman...
Akituma na ya kutolea amefaulu sehemu kubwa sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we endelea kukaa namanyele mambo haya huyawezi
I see, haijalishi ni wapi, lakini kuna mambo ni universally femanine, na mengine ni masculine.M mwenyewe najiulza sipati jibu haw wenzetu ni wawap
Huu uzi hauwahusu ma last bornI see, haijalishi ni wapi, lakini kuna mambo ni universally femanine, na mengine ni masculine.
Kujali sana kupendeza, kunukia, kununua poda na madresing table ni mambo ya wanawake.
Chupayamaji badilika mkuu, bado hujachelewa.
Piga kazi,heshimu kazi,muda,tafuta pesa
Oga kutwa mara 3
Nukia,perfume na body spray zisikauke ghetto
Vaa simple tu,sio lazima ziwe nguo za brand kubwa kubwa japo zisiwe midosho,form six flan,t_shirt kali kali,jeans na kadet,ila zisiwe oversize[emoji3][emoji38]
Vaa raba,sendals(open shoes) flani za kijanja,buti kali ila zisiwe km zile za Chuga[emoji38][emoji38][emoji38]
Saa mkononi,smartphone ya kijanja mf. Samsung, iPhone,wallet mfukoni,lesso muhimu,sanitizer kujikinga na Uviko_19
Mwisho,ndinga muhimu,km kwa sasa huna daladala zihusike tu,ila kama unaweza kukodi uber,au bodaboda it's OK,though usije skani kutuambia una bodaboda wako[emoji38][emoji38][emoji38] (jokes)
Karibu sn chamani
First born ndiyo mnajipulizia tu unyunyu..Huu uzi hauwahusu ma last born
Hivyo yani, ndivyo gentleman anavyotakiwa kuwa.Mamamamamamaeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu mimi nakupa vile nilivyo mimi.Inakuwaje watu wangu wa nguvu
Ssa wadau kwakuw wana-JamiiForums tumekuwa ni wenye kupeana msaada mbalimbal kimawazo na kivinginevyo,
Leo mwanenu ndugu bwana Fene nimekuja kuchota maarifa ya ki-gentleman
Usisite kutoa mikato yako kwani nikidokoa kimoja kimoja kutoka kwa kila mmoja hatimae nitakuwa gentleman
Fungukeni wadau kwani peni na daftari vipo mkononi mwangu
Nimekupata san mkuuMkuu mimi nakupa vile nilivyo mimi.
Kuna tofauti ya bishoo na jentomen.
Kwanza mashati yangu ni rangi moja sivai shati yenye rangi nyingi aisee,shati yangu hata kama nimenunua dukani lazima ipite kw fundi nikaichonge kidogo ili isipwaye sana,inakaa fresh sana.
Kuna mdau kashauri hapo fom six zinakuwa tamu sana kuliko zile zingine bhana.
Jentomen havai mashati mabwanga unakuwa kama mzee.yaani hakikisha shati yako inabanabana kidogo japo sio saana.
Na suruali yako hakikisha haikubani mpaka makalio yanajichonga,mimi natafuta kadeti zangu nachonga chini nahakikisha naikata haiburuzi chini,kisha napiga kiatu changu simple sana fresh.
Tafuta pafyumu yako unukie fresh,piga tizi siku japo tatu kwa wiki.
Mwisho hakikisha hauwi mtu wa porojo kaka,kuwa mtu wa kuongea vitu kwa kutumia akili,ukiwa mtu wa porojo unakuwa unachukuliwa mtu wa hovyo sana.
Umetisha sana mwanangu Ushindi victoryEASY
....pendelea kuvaa vinjunga midaa ya jioni ukiwa umetinga t-shirt isiyo na rangi kali, yaan iwe nyeusi, njano isiyoiva, kijivu ama zile form6[emoji23][emoji23],
Then tafuta funguo yoyote ya gari, ninginiza ionekane mbele ya surual/kinjunga.
Pendelea kujipuliza manukato ya utofauti, yaan namaanisha tafuta body spray ambayo haipatikan madukan kiurahisi na haimilikiwi hovyo hovyo na wana mtaa, pia tafuta pafyumu ambayo nayo bei yake iwe inaifanya haikamatiki hovyo na wana mtaa.
Kila unapotaka kutoka hakikisha body spray na pafyumu umejipuliza vyakutosha,.
Punguza mazoea na watu, hasa wale wapuuzi puuzi, pia punguza kucheka cheka ukiwa ktk kundi la watu, yaan hata kukiwa na jambo la kuchekesha we guna tu mmmh af tabasamu, kamwe usicheke bila sababu.
Tafuta saa tofaut tofaut za mikonon, zipo saa za kuvalia surual za vitambaa, zipo za kuvalia majinsi, zipo za kuvalia mashati ya mikono mirefi, zipo za kuvalia mikono mifupi, hakikisha hizi zote unazo.
Tafuta raba flan hiv na sendoz za kuvalia znazokufit muonekano wako.
Hakikisha matembezi yako unafanya midaa maalumu, yaan kwenye matukio maalum, mfano sherehe, misibani, birthday, pia hakikisha matembez yako yote inafanya mida ya jion ambayo watu wengi hutoka makazini na wengine ndyo mida ya mitoko.
Hakikisha unamikik simu yenye brand kubwa, pia pale uwapo kwenye daladala hakikisha unalipa nauli mara 2 na chenji umuachie konda,
pia pale upitapo ktk kundi la wanawake ama mbele ya mwanamke hakikisha unaiteka attention yao/yake kwa kutembea mwendo wa kiume yaan wa kudunda flani hiv unaoendana na biti flani,
Pia hakikisha pale unapokutana mara ya kwanza na mwanamke ktk kumalizia maongezi na kuagana mkumbatie na uhakikishe unamuachia harufu ya manukato yako, hii itamfanya akukumbuke na kukumwagia sifa kwa wenzie.
Pale uendapo dukani akiwa muuzaji mwanamke, hakiksha unachukua bidhaa na kuacha pesa yako yaan chenji alafu unaijia baada ya siku kadhaa ,na ukiifata hakikisha hurudi nayo, yaan chukua bidhaa nyingine, ufanyapo hiv utajijengea uaminifu kwa wafanya biashara.
Hakikisha wazee wote waliokuzid umri unawaheshimu kwa salamu na ikiwezekana ukimuona mzee wa mtaa wako, msaidie mzigo kubeba ama kama analima mnunulie soda, huwez jua kiwa kwake ana binti mzuri[emoji23][emoji23] utapewa bureee.
Hakikisha unawapenda sana watoto wadogo na hata uwaonapo barabarani wavushe na uwanunulie pipi&barafu hii itawafanya wakakutangazie sifa kwa dada zao na wazaz wao kuwa kuna bro mkarimu sana, utatafutwaaaa weweeeee eeh[emoji23].
Hakikisha uzuruli mitaani bila sababu ya msingi, isipokuwa kazi tuu, yaan achana na mizunguko isiyo ya lazima, hii itakufanya uwe mtu adimu na anaemissiwa sana na watu[emoji23].
Penda kutoa msaada pale uombwapo,
Hakikisha unavyotembea mitaan uwe na maji mkononi yaani lile kopo la maji ya buku nusu, na mfukoni usikose chocolate hata ya jero, hii ni siraha ya kumgiftisha mtoto mkali ukionana nae accidentally njian, na hakikisha unanukia usisahau hilo.
Pale uwapo ktk daladala hakiksha unakuwa na earphones na uweke playlist ya nyimbo za taratibu ikiwezekana ziwe hit songs, pia ukikaa na mwanamke hakikisha unamkalimia kwa kumkaribisha kusikiliza nyimbo kwa kumvisha earphone ya upande mmoja, ama akiwa kakaa mbali nawew yaan angle ambayo anakuona ufanyalo ktk simu, hakikisha unaplay vedio za vichekesho ama kuplay game lolote la kitoto hususan tempo run, hil linapendwa sana na wanawake woote, hakikisha uchezapo haushindwi kiurahis, ili hata yule atazamae nyuma yako azidi kumakinika na ufanyalo.
Akimakinika mkaribishe acheze kwa kumpasia simu kwa lugha nzur,.
Walipie nauli wanafunzi waliosimama, na msaidie kumpakatia mtoto huyo mwanamke aingiaye ktk daladala akikosa siti.
Gheto kwako hakikisha hukosi vinywaji kama Wine na juis special kwa wageni tu(utakuja kunishukuru).
Mwisho ugentleman sababu yake kuu ni kuteka hisia za wanawake hili halina ubishi, hivyo basi usiache kutafta pesa, tafuta sana pesa na hayoo yoote UTAZIDSHIWA, yaan ukiwa na pesa automatically unakuwa half-gentleman na hizo mbinu ni kumalizia tu.
Basi achana na u gentleman.Sio tatzo kwang jap co mfuatliaj san wa totoz