Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Ngoja nimuite yule mtangazaji akuhoji utakuwa maarufu tu.
 
Kwa upuhuzi huu uliyopost tayari ushakuwa maarufu tayari mazeeiyaa wenzako watakua wakikutaja humu.
 
Fanya vya ajabu ujirushe mitandaoni / I guarantee you one week only...
 
Umaarufu hautafutwi ndgu yangu unakuja wenyewe ukiutafta hauji kama huamini anza tuone kama hujajitangaza umekufa halafu ukafufuka upate kk
 
Panda Juu Ya Mti Mrefu Kisha Ujiachie, Ukinusurika Njoo JF Utuambie Ulipokuwa Katikati Ya Ardhi Na Anga Ulikuwa Unajisikiaje?
 
ahahahah, amtukane mtukufu Prez aone jinsi atavyokuwa staa
 
Kama wewe sio maarufu mpaka sasa, basi una tatizo la nyota. By the way, kamuulize demu wa Sugu, aka Faidha alipataje media attention. Au cheki na Bibi money watakupa msaada.
 
Mkabidhi mkeo kwetu wanajamii forum tujisevie then tutakutaja sana na utakuwa maarufu haswaa. Zingatia ushauri!
 
Umaarufu wa humu au wingi wa likes ndio utawaachia urithi kizazi chako? Utawarithisha wanao wingi wa "Likes" zako ulizopata humu?

Umaarufu wa fake id utakupeleka wapi?

Fanya kazi kijana utengeneze life yako na future ya kizazi chako, achana na fikra za kimasikini,
Siku zinakwenda mbele wala hazitorudia nyuma,amka zinduka before it's too late!
 
Hahahhaah umenichekesha sana wewe,fanya hivi kua kama mimi tu utaongelewa sana utatajwa sana ,utajadiliwa sanaa, cc Nyani Ngabu kuja hapa umpe umaarufu huyu mtu
 
Wewe ni maarufu sana.

Tatizo lako hujui kwamba,wewe ni maarufu.
 
Toa kauli za kichochezi dhidi ya serikali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…