colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Mmh aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaNaomba uniweke mimi kwenye mashindano badala ya huyo uliyemtoa ili ligi inoge.....😀😀😀
Mzigua huishi vituko..[emoji38] [emoji38]Eeeeh. Sema sasa hivi natuma kwa mmoja tu. Mwenzake nilishamtoa kwenye mashindano.
Nimeacha vituko mbona.Mzigua huishi vituko..[emoji38] [emoji38]
Afanye hayo aliyoshauriwa tutafungua thread hapa JF kwa ajili yakeNinadhani hamjamuelewa mtoa mada, yeye anataka awe maarufu hapa JF.
Endelea na matusi tyu.Mke Bwaxx wazeiyaa
(nilivosema wazeiyaa nikakumbuka zile mixtape za Virus za mzee sugu wakat anawaponda Mawingu FM RADIO ya wafu)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo ( Simaanishi Sports HQ ya 93.7 FM kwa Maulid Kitenge)
Sasa ni hivi mazee....
Main topic ni kuwa
NATAKA NIWE MAARUFU HUMU JF.
Niwe famous kama kina
Faizafoxy
Mshana JR (mzee wa story za uongo)
The Boss
Nyani Ngabu
Heaven sent
Mwajuma mchawi
Mzizi mkavu (mzee wa nguvu za kiume, kila uzi wa PE na nyeto humkosi, cjui jamaa ana PHD ya haya mambo)
Tuendelee....
Myname is myname..
Na yule mdada kweny avatar yake kuna mdada kachuchumaa kavaa kichupi halaf kashika bunduki..
Na wengne wengi..
Sasa jamani nitumie njia gani??
Maana mwanzo nilisema nitumie njia ya MATUSI...
Yaan kila mara na post threads za MATUSI tuu...
Nafungua kila uzi then na comment MATUSI tuu bila kujali topic Husika..
Tatizo nikawa napigwa BAN..
Nishaurini jaman Namie nataka watu wawe WANANI TAJA TAJA HUMU..
CJAWAHI KUONA mtu kanitaja humu..
Ushaur tafadhal....