Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??


Mtafute Zamaradi wa Clouds
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah jf raha sana mkuu umenichekesha sana umekua maarufu kwangu asee
 
Nadhani ashachezea BAN hadi hivi sasa ajifunze kua mstaarabu
 

Sema ww ni shoga unatafuta mwanaume mwenzio Wa kukuoa. Sasa hv utakuwa maarifu mkuu
 
Mtukane moja ya kiongozi mkubwa kabisa wa nchi uone ka hujawa maarufu tena utachukua deadline kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…