Nataka niwe maarufu jamani.. Nifanyeje??

Ninadhani hamjamuelewa mtoa mada, yeye anataka awe maarufu hapa JF.
 
Aanza kuwa shoga mkuu, hata ngosha makonda atakufaham, hadi keko/segerea watakupokea kwa shangwe siku ukipelekwa
 
Kunywa ntindikali saa moja utasikia millard ayo anakuhoji ampilifaya ya MAWINGU FM
 
Ninadhani hamjamuelewa mtoa mada, yeye anataka awe maarufu hapa JF.
Na amesema mwanzo alitumia mbinu ya kutukana watu na kuwajibu hovyo hata kama kulikua hakuna umuhimu wa kutukana!!

Ila naona hata hii thread yake ametukana watu bila sababu ya msingi na bila shaka kisha kula Ban.
 
Ameshapata umaarufu aliokuwa anautafuta.
 
Mbona tayari we ni maarufu....we tumia tu sasa!
 
Jitangaze tu una chijo lkn lkn unaogopa kutobolewa na kidole
 
Tatizo hujui kwamba watu hao ni wakongwe na pia wamejulikana kutokana na sifa zao za kipekee zinazochangiwa na maarifa yao kuhusu kitu Fulani.......

KIUFUPI NI KUWA HAWA WATU HAWAKUUTAFUTA UMAARUFU KWA NGUVU ZAO BALI UMAARUFU ULIWATAFUTA AUTOMATICALLY

Sasa wewe ninavyokuona hauna la upekee ulilonalo la kuwavutia watu hadi ukaufikiria matusi..

Ndugu yangu cha kukushauri ni urudi tu instagrama na fb maana huko watu wa type Zako watakushobokea na ukipata followers wengi waweza kupata pesa via matangazo...

USIJARIBU KUIFANYA JF IBADILIKE ILI IENDANE NA WEWE BALI WEWE NDO UBADILIKE ILI UENDANE NAYO....
USISAHAU KUTAFUTA KAZI YA KUFANYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…