Nataka niwe mke wa pili

Wanafanya uwasherati, hiyo ni kesi nyingine.

Unajuwa wanawake mnachekesha sana! Mnaenda kulia lia kanisani mpewe wanaume wa peke yenu wakati wanaume ni wachache! Mungu anawacheka tu maana mmekosa maarifa!
Nyie akina mama wajane ndio mnashangaza zaidi, kama hapa unaandika ujinga mtupu halafu huwezi kusupport unachoandika with facts

Unajua tofauti ya Uzinzi na uasherati? Mbona umejibu vice versa?

Btw, bring in here hayo maandiko yanayoagiza kila mwanamke aolewe.

Ukishindwa kulileta hilo, basi wewe ni mkurupukaji butu mjane unayetamani waume wa wenzio.
 
Ni vizuri uandike barua ya hitaji lako ikiwa imesainiwa na Mwenyekiti wa serikali za mitaa za hapo ulipo ili kulipa nguvu ombi lako
Ni ushauri tu
 
Wewe una shida zako tu, hata hao wajane pia wanahitaji kuolewa.
 
Badili dini sasa!maana ukibaki na unaswara wako watakufanya mchepuko sio mke.
 
Safi sana Hayo ni mawazo ya Mwanamke wa kiafrika anaejitambua
 
A christian lady wanting to become a second wife!!!!!! Amazing
 
Ninayo sababu ya msingi hii hapa isome!wewe ndio hujauliza,mkristo haoi mke wa pili,waislamu hawawezi kufunga ndoa na mkristo,sasa niambie unaolewaje mke wa pili?
Upo sawa kaka
Hata mm nimemuuliza kwa dini gan??

Tupo serious lakin namuona bint amepanic
 
Hata sijapanic ila hamjanipa sababu kwanini mkristo haoi mke zaidi ya mmoja!
Loveless,hongera kwa kuamua kuusema ukweli unaowashinda wengi, Nimefurahi jinsi unavyo jiamini na kutetea msimamo wako, kwa uamuzi huu utatukanwa, utabezwa na kudhihakiwa, umeamua kuukubali uhalisia nina imani Utampata atakae kuelewa na kila la heri.
 
Ina maana hakuna hata mtu mmoja aliyejua kuwa mtoa Mada ni mwanamme?
 
Duuhu tatizo cna mke nigekuwa nae ungenifaa thana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…