Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Nyie akina mama wajane ndio mnashangaza zaidi, kama hapa unaandika ujinga mtupu halafu huwezi kusupport unachoandika with factsWanafanya uwasherati, hiyo ni kesi nyingine.
Unajuwa wanawake mnachekesha sana! Mnaenda kulia lia kanisani mpewe wanaume wa peke yenu wakati wanaume ni wachache! Mungu anawacheka tu maana mmekosa maarifa!
Unajua tofauti ya Uzinzi na uasherati? Mbona umejibu vice versa?
Btw, bring in here hayo maandiko yanayoagiza kila mwanamke aolewe.
Ukishindwa kulileta hilo, basi wewe ni mkurupukaji butu mjane unayetamani waume wa wenzio.