Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
- Thread starter
- #81
Mi sijasema ni mdhaifu, nimesema nataka kuolewa mke wa pili!Udhaifu wako nini,maana hapa mada kuu ni udhaifu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijasema ni mdhaifu, nimesema nataka kuolewa mke wa pili!Udhaifu wako nini,maana hapa mada kuu ni udhaifu wako
Bado hujajibu swali nililokuuliza...nimekuuliza je hao walikuwa Wakristo?Hawa walikuwepo kabla hata ya Cristo, na waliongea na Mungu aliemleta Cristo.
Na baada ya yesu bado wanawake ni wengi, hebu tuseme kila mmoja aoe wake itakuwaje?
Yesu alisema wapi kuwa mwanaume amuoe mke mmoja?
Hakuna mtu amekuzuia kuolewa hata wa kumiMi sijasema ni mdhaifu, nimesema nataka kuolewa mke wa pili!
Tupa ndoano best,waweza vua samaki huyu![emoji12] [emoji12] [emoji12]Wazee wa mathnaa changamkieni fursa
Hakuna Mungu wa zamani na wasasaSoma kitabu cha mwanzo ( 4:19) wafalme 1, aya (11:3).
Labda uniambie Mungu wa zamani na sasa ni tofauti!
Au sio wakristo tunaotumia bible hii?
Wewe endelea na theologian yako, harafu uje uniambie kama watu wa zamani walikuwa na wake wengi na wali ongea na Mungu, harafu wewe uliekuwa na mmoja ni nini kinatokea?Hakuna Mungu wa zamani na wasasa
Agano la kale lilieleza mambo mengi maovu yaliyofanywa na wanadamu wa zamani ili kutufunza wote na utimilifu ukafanyika katika Agano jipya,
Mifano ni kama kiburi cha Farao, mke wa Lutu, Nebukadnezzer na wengine...kwani Mungu hakuwaona? Unajua kwanini aliwaacha kwanza wafanye yakwao?
Katika suala la Mfalme Suleiman ndio maana yeye mwenyewe hata baada ya kupata utajiri wooote na wanawake alikuja kusema:-
"Na haya yote ni kujilisha upepo"
Wewe unapaswa usome theology ili uielewe Biblia vizuri.
Kekereeenkede...waandika nini ewe ukurupukaye?Wewe endelea na theologian yako, harafu uje uniambie kama watu wa zamani walikuwa na wake wengi na wali ongea na Mungu, harafu wewe uliekuwa na mmoja ni nini kinatokea?
Harafu ujue wanawake wote tunatakiwa kuolewa ili tuuepuke uzizi, na tunaolewaje mmoja mmoja kwa mwanaume mmoja wakati wanaume wenyewe ni wachache na Mungu anaujua uchache huo!
Acha kudanganya wanawake, acha waolewe kuuepuka uzizi!
Inaonekana utakuwa umeolewa wewe hujui wanawake wengine wanavyohitaji kuwa na mme pia! Unataka zinaa iende hadi wapi??????
Hiyo theologia ilete bas suluhisho litakalo tupa uwezo wa kila mwanamke kuwa na Mme wake.
Vimada kibao, bado mmeshupalia mke mmoja!!
Kama hawataki kuolewa kwa nini wanakuwa vimada?Kekereeenkede...waandika nini ewe ukurupukaye?
Harafu [emoji117] Halafu
Theology [emoji117] Theologian
Uzizi [emoji117] Uzinzi
Uliekuwa [emoji117] Uliyekuwa
Kwanini usijifunze kwanza kuandika vizuri?
Halafu ni wapi umetoa hayo maneno kuwa
"Wanawake wote lazima waolewe"
Hebu nioneshe ushahidi wa maandiko kama nilivyokuonesha mimi.
La sivyo utakuwa mbwabwajaji kutu.
Sawa? Lete maandiko hapa wewe.
Unamuuliza nani?Kama hawataki kuolewa kwa nini wanakuwa vimada?
sio lazima uandikiwe kwamba kila mwanamke anataka kuolewa, itazame jamii harafu jiulize kwa nini kuna vimada kila kona! Wangekuwa wameolewa wasingeendekeza uzinzi!Kekereeenkede...waandika nini ewe ukurupukaye?
Harafu [emoji117] Halafu
Theology [emoji117] Theologian
Uzizi [emoji117] Uzinzi
Uliekuwa [emoji117] Uliyekuwa
Kwanini usijifunze kwanza kuandika vizuri?
Halafu ni wapi umetoa hayo maneno kuwa
"Wanawake wote lazima waolewe"
Hebu nioneshe ushahidi wa maandiko kama nilivyokuonesha mimi.
La sivyo utakuwa mbwabwajaji kutu.
Sawa? Lete maandiko hapa wewe.
Kwahiyo watu wakiolewa hawawi Wazinzi?sio lazima uandikiwe kwamba kila mwanamke anataka kuolewa, itazame jamii harafu jiulize kwa nini kuna vimada kila kona! Wangekuwa wameolewa wasingeendekeza uzinzi!
Sio lazima uandikiwe unaweza kuwa wa kwanza kuandika kwa kuitazama jamii.
Wanafanya uwasherati, hiyo ni kesi nyingine.Kwahiyo watu wakiolewa hawawi Wazinzi?