Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

Juma dawaah

New Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
3
Reaction score
9
Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
 
Ukihitaji wafanyakaz nishtue
 
Inalipa sana, Kitakacho fanya ulipwe ni Umahiri wako katika hizo kazi, Kama umebobea kwenye hiyo fani, ukifungua workshop ni miezi mitatu tuu inatosha kukutambulisha kwenye market
Ila kama utakua kila siku unarudishiwa pump za watu ulizo suka motor na zimefeli 😀😀😀 ujue unajitengenezea matatizo mengine
Hii kazi kulala oysterbay nje nje
 
Back
Top Bottom