Juma dawaah
New Member
- Feb 1, 2025
- 3
- 9
Upo mkoa ganiNdugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
Ukihitaji wafanyakaz nishtueNdugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
Inalipa sana, Kitakacho fanya ulipwe ni Umahiri wako katika hizo kazi, Kama umebobea kwenye hiyo fani, ukifungua workshop ni miezi mitatu tuu inatosha kukutambulisha kwenye marketNdugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
PwUkihitaji wafanyakaz nishtue