WanaJF naomba mwenye mbinu yakinifu za kuniwezeksha niwe tajiri.Mbinu zozote zile za kibiashara,kinguvu au zozote zile almradi ziwe legal......In short nakataka niwe tajiri.......nahitaji msaada wenu
Tafuta hiki kitabu, kisha ukisome kwa utulivu: Think and Grow - Napoleon Hill.
Kidokezo: "What man has done, man can do."
mkuu hizo article hazina kazi katika mazingira ninayoishi....ni za kufikirika kabisa......mfano wewe ukienda kijijini kwenu ukakutana na mzee anakuambia anataka kuwa tajiri.....utampa ma article hizo? afanyie nini baada ya kuzisoma(kama anajua kusoma)......https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m/16208-article-4-how-become-rich-famous.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-article-3-seven-secrets-wealth-creation.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...3-article-5-how-have-constant-flow-money.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...endous-wealth-unlock-your-true-potential.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cle-8-secrets-getting-rich-skyrocket-top.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...9-one-reasons-why-you-not-milionaire-yet.html
sawa sawa........Pamoja na mawazo uliyopewa-angalia nchi uliyopo: hizo theory lazima uziweke kwenye mazingira husika.
Just surrender your life and give your life to god and also believe in him have faith..huo ni utajiri tosha..
Usiridhike na unachokipata,weka tamaa ya mali mbele mali itakufikia na utakuwa surprised!Wengi waliotajirika ni watu wenye tamaa kubwa ya mali.jenga tabia hiyo.
LOL!..Nipo shosti!...si unajua mambo ya weekend alafu na hili liwinter linaudhi sana..how are you anyways!...happy monday.Oh, where have you been, shosti?!
-True, true, dada! Had you surrendered your life and given yourself to Him, you wouldn't have been scared the other day. 🙂
]Just surrender your life and give your life to god and also believe in him have faith[/B]..huo ni utajiri tosha..