Nataka niwe tajiri

Nataka niwe tajiri

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
WanaJF naomba mwenye mbinu yakinifu za kuniwezeksha niwe tajiri.Mbinu zozote zile za kibiashara,kinguvu au zozote zile almradi ziwe legal......In short nakataka niwe tajiri.......nahitaji msaada wenu
 
taja wasifu wako kwanza kwa ufupi tu kwa mfano jinsia yako,umri,kiwango chako cha elimu nk halafu nitaanzia hapo kukupa ushauri..
 
Ni vyema pia ukapata mawazo ya matajiri kama Donald Trump na mwenzake Robert Kiyosaki katika kitabu chao "Why we want you to be Rich". Wamefafanua kwa udhoefu mbinu, kila la kheri mkuu!!
Vizuri umesema unataka mbinu ambazo ni legal,otherwise watu wangekuambia ukachemshwe kwenye pipa, and such kind of stuffs....hard to swallow!!
 
Pamoja na mawazo uliyopewa-angalia nchi uliyopo: hizo theory lazima uziweke kwenye mazingira husika. Usidhani nguvu na juhudi zako utazotumia USA na Bongo no tofauti. Kuna wagumu wasioelewa hapa usipoangalia watakukatisha tamaa-huu ni zuoefu ninaokupa hasa utakpofikiria kuanzisha kitu kipyaa kabisa ambacho wa Tz wa hapa hawakijui!!!!
 
Jaribu kuwasiliana na Ngwear (aliyeimba "Nipeni deal") atakuwa na msaada kwako.
 
Tafuta hiki kitabu, kisha ukisome kwa utulivu: Think and Grow - Napoleon Hill.

Kidokezo: "What man has done, man can do."
 
Fanya kazi kwa bidii na kwa akili, usiwe na matumizi ya hovyo ya pesa
 
WanaJF naomba mwenye mbinu yakinifu za kuniwezeksha niwe tajiri.Mbinu zozote zile za kibiashara,kinguvu au zozote zile almradi ziwe legal......In short nakataka niwe tajiri.......nahitaji msaada wenu

...ukiridhika tu na unachokipata ndio utajiri wenyewe huo...

binafsi, nilipata mbinu murua kabisa na utajiri wa kutupwa, bahati mbaya kabla sijaanza kula matunda yake nikaamshwa na li-alarm clock, ...masaa yamefika kwenda 'kubeba boksi'
 
mkuu hizo article hazina kazi katika mazingira ninayoishi....ni za kufikirika kabisa......mfano wewe ukienda kijijini kwenu ukakutana na mzee anakuambia anataka kuwa tajiri.....utampa ma article hizo? afanyie nini baada ya kuzisoma(kama anajua kusoma)......
Pamoja na mawazo uliyopewa-angalia nchi uliyopo: hizo theory lazima uziweke kwenye mazingira husika.
sawa sawa........
 
Usiridhike na unachokipata,weka tamaa ya mali mbele mali itakufikia na utakuwa surprised!Wengi waliotajirika ni watu wenye tamaa kubwa ya mali.jenga tabia hiyo.
 
Just surrender your life and give your life to god and also believe in him have faith..huo ni utajiri tosha..
 
Oh, where have you been, shosti?!

Just surrender your life and give your life to god and also believe in him have faith..huo ni utajiri tosha..

True, true, dada! Had you surrendered your life and given yourself to Him, you wouldn't have been scared the other day. 🙂
 
Usiridhike na unachokipata,weka tamaa ya mali mbele mali itakufikia na utakuwa surprised!Wengi waliotajirika ni watu wenye tamaa kubwa ya mali.jenga tabia hiyo.

...mali (wealth) au mafanikio (success) nini muhimu kwanza?

kama unamaanisha aweke tamaa ya mafanikio kwanza nitakuelewa, lakini tamaa ya mali bila kuzalisha mafanikio, huenda ikamjengea hisia ya kupata mali kwa njia za udanganyifu...nk

Yo Yo, think Big... fikiria, changanua, chagua na panga jinsi utakavyoyafikia hayo mafanikio ili kuifanya njozi yako kuwa kweli...!
 
Oh, where have you been, shosti?!
LOL!..Nipo shosti!...si unajua mambo ya weekend alafu na hili liwinter linaudhi sana..how are you anyways!...happy monday.



-True, true, dada! Had you surrendered your life and given yourself to Him, you wouldn't have been scared the other day. 🙂


Oh yes i did surrender my life to god..(nimekata shauri)...hivi kingeredha ni nini repent?..au?..its like everyday when i wake up int he morning and look at the window and see the sun..huwa na kneel down and pray and thank god for waking me up (still alive) and i thank him for all the wonderfull things he has done to me..maana siyo kila mtu anaamka the next day,kuna watu wanaishi maisha ya taabu kuliko mimi na wewe so utajiri ni material stuff...just pray and surrender ur life to god that is all we all need faith....Keep hope alive!
 
]Just surrender your life and give your life to god and also believe in him have faith[/B]..huo ni utajiri tosha..

The bolded part is just part of the big picture, haitoshi bila kufanya kazi. Waulize wale wasabato waliopiga kambi airport kama walipata muujiza wa kufika iraq bila tiketi kisa wana imani. Poverty is a sin in God's eyes when it results from not working hard enough
 
Back
Top Bottom