Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

Nilikuwa offline ila najibu yote

Sorry nimekosea naongelea earphones charge battery na vingine sio display na vifaa kama ulivoelewa
Sawa wewe unajitambua ongezea na usb cables za data yaani zinazo wezesha simu kuonekana kwenye pc bila kusahau memory card, card reader na flash, screen protector,housing za simu ambazo zinafahamika, (common phones)
 
Ntafanya research bandarini pale maana naskia TRA wansumbua sana
Uakika tajiri
Pemba bei nafuu kivipi? Unajua kutoka pemba kwenda mombasa karibu kuliko pemba kuja unguja?
Nisahihi mkuu but kwa bei za vifaa vya electronic vilivyokuwa kamserereko mbona kizazi tu kulipia nauli hivyo vifaa havicost
Kwani kutokea Dubai adi apa na pemba adi apa wapi mbali..

Kingine mfano kule unachukua tv nch 64 laki nne nauli yake 50 adi ulipo me nilitumiwa adi iringa wewe unakuja iuza laki Tano Hadi laki Tano na ushezi usisahau pia nchi 55 ni laki 3..
 
Hivi TV gani nipendwa ukiwa nazo zinatoka kirahis kampuni ganii..au watu hawaangalii kampuni wenyewe wakifika wananunua tu
 
Back
Top Bottom