Wakuu salaam,
Kama mada inavyosema nina gari zangu mbili zipo tu hazina shughuli. Moja ni Ti Carina na nyingine ni Spacio new model, sitaki kuwapa madereva wa mtaani maana sitaki usumbufu. Nataka nizisajili kwenye kampuni ya uhakika ili ziniingizie fedha ya uhakika bila gari zenyewe kupata dhoruba za hapa na pale za hawa madereva wetu.
Mwenye kujua sehemu ya uhakika naomba tusaidiane tafadhali na wazo litakalonifaa kisha nikali apply na kuona matokeo yake napenda kusema kwa dhati kuwa nitatoa fadhila kwa aliyetoa wazo hilo.
Naomba tusaidiane kwa wale wenye mawazo tafadhali.
Mkuu gari zangu ziko makini na siwezi kuagiza gari 2001...Una lingine?Hizo gari zako zote kama zimeshapita miaka kumi ni skreppa *(despite wewe kuziita new model gari za miaka ya 2001). Na hakuna kampuni inayohangaika na skreppa...🙄
Nimeagiza nyingine za awamu ya tatu sasa naona haya yapo tu. Huwa bahati mbaya siwezagi kuuza kitu nachomiliki! Nikikichoka sana nampa mshkaji wanguKumbe ukali wako wote kwa amgufuri ni kwasababu ya Vyuma kukaza. karibu kwenye ujasiliamali kamili
Yaani limit kivipi?Mkuu, tatizo la uber unawekewa a limited space kwenye kichukua. Hii inahatari maana unaweza siku ikaisha hujaona kitu!