Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

We mjinga unajiona mjanja kushabikia ufala wa matapeli walioko ccm! ACHA UPUMBAVU WA INZI KULA JALALANI HALAFU ANAJIFUTA MIKONO!
 
Kinachonikera ni kuwa fedha za watanzania zinatumika kumtafutia shibe ya tumbo lake!

Hao wanao mpigia debe si kwamba wazalendo bali wanatumia kuwa fursa ya kupata mafungu ya mamilioni ya fedha za posho!
Kama wazalendo watumie fedha za kwenye akaunti zao
Kinachonikera ni kwamba akipata hicho cheo, hatawashukuru watanzania, Bali Rais na chama cha mapinduzi, na atakwenda kutangaza huko nje kuwa CCM ni chama pendwa Africa nzima, na kinasimamia haki na maendeleo ya Taifa

Watanzania wote wazalendo, tuombe huyu bwana Ashindwe!
 
Mwa
Mwanaume mzima unaombea mwanaume mwenzio afeli kweli?? Kuna uhusiano gani kati ya ujinga wako na Janabi???

Tafuta Cha kufanya ila Mungu akisema ndio basi hakuna wa kupinga
 
Hivi sifa ya kuwa Bavicha ni kutokuwa na akili?
 
Mishahara ya miaka yote haijamtoshà

Nikuulize swali jepesi

Kwenye jamii Janabi amefanya nini cha maana zaidi ya vyakula
Kutuambia tusile kana kwamba tutaishi milele
kama hilo sio la maana kwako basi tulia
 
Na kampeni ya kumsagia kunguni ianze rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…