nkubankaka
Member
- Sep 13, 2024
- 44
- 55
Funguka kidogo mkuu, anahusika nn?Binafsi pia namuombea mabaya juu ya safari yake hii,ninachosikia huku mtaani dhidi ya mwend ....ke kama ni kweli asipewe hata kura mija

CCM mnatamani sana mngekuwa wasimamizi wa huo uchaguzi ili mufanye wizi wa kura kwa huyo jamaa yenu....nyambaf zenuWapiga Kura ndio Akina Traore lakini
Sio yale mabeberu yenu ya Ubeljiji
Umelewa tone tone unaropoka tu kama Braza K.Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Anaupenda moyo wakati wenyewe haumpendi....hahahaHamna kitu huyo ni kanjanja tu
Kweli kabisa ... anao wanaomtegemea kuwapelekea mkate😎😎Muacheni baba wa watu nae anafamilia anawatu wanamtegemea...😂
Mimi pia nataka ashindwe ila sio kwa sababu zakoHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Afanye kwa harakati zake, na si kuchukua pesa zetu za NchiMwa
Mwanaume mzima unaombea mwanaume mwenzio afeli kweli?? Kuna uhusiano gani kati ya ujinga wako na Janabi???
Tafuta Cha kufanya ila Mungu akisema ndio basi hakuna wa kupinga
Kuna Roho mbaya zaidi ya kuchukua fedha za walalahoi kuwatafutia cheo watu wasiojali haki za walala hoi?Basi Tu Ni Roho Mbaya
Wewe ni Idiot first classHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Kama ni wa CCM ashindwe tuHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
HayaKuna Roho mbaya zaidi ya kuchukua fedha za walalahoi kuwatafutia cheo watu wasiojali haki za walala hoi?
Uliwahi kumsikia wapi huyo bwana anaishauri serikali kutenda haki kwa walalahoi ambao anafuja pesa zao kujitafutia cheo?
Atashindwa tu. Hana vigezo.Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Ashindwe mara ya pili?Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.