ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Lema Ni Daktari??Mpelekeni Lema akagombanie si anazo sifa pia

Angeweza kushinda, ila utoaji holela wa mabandiko na habari za lishe zisizofanyiwa utafiti utamponza.Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Acha kujifurahisha, MATAGA na Chawa wa mama(uvccm) hawajawahi shindwa kitu. Anza dozi ya maumivuHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
KASHINDA kwa Kishindo 100%Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Akishinda uje uniambie nitakupa laki tano ya kitanzaniaKASHINDA kwa Kishindo 100%
Ashinde mara ngapi?Akishinda uje uniambie nitakupa laki tano ya kitanzania
Akishinda uje uniambie nitakupa laki tano ya kitanzania
😀😀😀ila watz nyieKinachonikera ni kuwa fedha za watanzania zinatumika kumtafutia shibe ya tumbo lake!
Hao wanao mpigia debe si kwamba wazalendo bali wanatumia kuwa fursa ya kupata mafungu ya mamilioni ya fedha za posho!
Kama wazalendo watumie fedha za kwenye akaunti zao
Kinachonikera ni kwamba akipata hicho cheo, hatawashukuru watanzania, Bali Rais na chama cha mapinduzi, na atakwenda kutangaza huko nje kuwa CCM ni chama pendwa Africa nzima, na kinasimamia haki na maendeleo ya Taifa
Watanzania wote wazalendo, tuombe huyu bwana Ashindwe!
Hivi matokeo ni leo?Akishinda uje uniambie nitakupa laki tano ya kitanzania
Hakika ashindweBinafsi pia namuombea mabaya juu ya safari yake hii,ninachosikia huku mtaani dhidi ya mwend ....ke kama ni kweli asipewe hata kura mija
VOTING RESULTS:Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
VOTING RESULTS:Nitashangaa sana WHO wakimpa huyu mjanja mjanja...hana ujuzi huo!
Mtu anayefoji hadi CV....eti Cardiologist...hahaha..kasomea wapi?...
Kwahiyo angeshindwa ndo nchi ingekuwa ya kiwerevu? Kwa staili hiyo basi hii nchi imejaa wajinga!Ashindwe tu hii nchii ya kijinga
😂 Chadema bhana 😂Akishinda uje uniambie nitakupa laki tano ya kitanzania