Siropoki aisee, najua naongea nini hapa. Kama unadhani ujinga uliouendekeza kichwani mwako ni salama, nakupa pole maana hauwezi kujitoa akili tukuangalie tuu! ACHA UPUMBAVU.calm down plz,
kuropoka hakusaidii gentleman![]()
haya,Siropoki aisee, najua naongea nini hapa. Kama unadhani ujinga uliouendekeza kichwani mwako ni salama, nakupa pole maana hauwezi kujitoa akili tukuangalie tuu! ACHA UPUMBAVU.

Nimekusamehe ! Kuwa mzalendo tuijenge Tanzania ya haki na usawa kwa kila mmoja na si kwa upendeleo kwa watu wachache huku wengine wakiishi kama wako kuzimu!haya,
tuliza mihemko sasa gentleman![]()
well done,Nimekusamehe ! Kuwa mzalendo tuijenge Tanzania ya haki na usawa kwa kila mmoja na si kwa upendeleo kwa watu wachache huku wengine wakiishi kama wako kuzimu!

Sawa. Atashindwa na atapewa mamaako!Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
We ni mchepuko wake?Muacheni baba wa watu nae anafamilia anawatu wanamtegemea...😂
Ashindwe na akome kutumia pesa zetu za umma Kwa faida yake binafsi. Akome akome tenaHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Mapema tuJK kaingilia kati hapo lazima ashinde Dr Janabi.
Itakusaidia nini??Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Hicho cheo sikujua kama kipo hadi alipishinda ndungulile. Nadhani hakina hata maji ya kunywaHuyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!
Una roho yakichawi...kwahyo akishindwa wewe unapata faida gani? Acha ujingaMjinga ni wewe na CCM yanu. Na atashindwa kwa taarifa yako.