bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Chazo cha yote ni DP world imewavuruga kweli kweliIshu sio chadema wala CCM,ishu tunatakiwa tuwe na serikali moja,taifa moja na nchi moja ya Tanzania,yenye Rais mmoja,Bunge mmoja,na dola moja!na sio mbili mbili kama sasa huyo ndio ubaguzi mkuu unatuletea kero za MUUNGANO!!
Tukiwa wamoja wenye haki sawa wote hakutakua na kero za MUUNGANO tena nchini!!!
Kero hizi ni matokeo ya serikali mbili,Bunge mbili,mahakama mfumo mbili yaani mbili mbili WAKATI wengine wanataka tatu tatu ambayo sio KABISA!!
Tukianza tatu tatu tunaua mawazo ya NYERERE na karume kuungana!!
Dp world imekuvurugeni kweli kweliDadeki[emoji1787] kwamba huwataki kabisa hata kwa Mkopo. Mimi pia naona Waende tu ni Wasumbufu sana tukiweka Muungano wa Serkali moja watageuka Wapinzani wa Serkali na tukiweka Serkali 3 huu ni unafiki tu si Muungano. Hizi Serkali mbili ndo Uchafu kabisa Wakwende tu.
Wewe inaonyesha hiyo Dp world imakuchafua kweli kweliKama hawataki tunalazimisha!Mwinyi anakua mbunge pekee wa Zanzibar!! Muundo unakua mpya KABISA!!!
Kweli kweli MkuuDp world imekuvurugeni kweli kweli
HAPANA imenisafisha kweli kweli!!Wewe inaonyesha hiyo Dp world imakuchafua kweli kweli
Naunga mkono hoja Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja? na Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"Mi nadhani kukubali uwepo wa serikali mbili au tatu ni kuvunja muungano wetu, Serikali unatakiwa iwe moja tu wala si vinginevyo.
Kinachoitwa kero za Muungano ni matokeo ya serikali mbili za kibaguzi zilizopo
Tunapaswa tuwe na Rais mmoja na makam wake kutokea mahali popote pa muungano bila kujali uzanzibari wala utanganyika!
Niwaombe viongozi wakuu wa mihimili ya dola waanze kufikiria serikali moja tu ya muungano na sio mbili wala tatu!
Asanteni.
Seikali tatu ndiyo suluhisho la pekee.Nataka moja,mbili haifai inazua kero zisizotatulika !
Naunga mkono hoja Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"Niwaombe viongozi wakuu wa mihimili ya dola waanze kufikiria serikali moja tu ya muungano na sio mbili wala tatu!
Asanteni.
HakikaMuungano wa Hovyo
Mzee wa link umewasili faster na Link yako nakukumbali sna Jambo la kitaifa
Hili hulipati kwa hawa waliopo sasa; kwa sababu ni wanufaika wakubwa wa muundo huo wa muungano.Niwaombe viongozi wakuu wa mihimili ya dola waanze kufikiria serikali moja tu ya muungano na sio mbili wala tatu!