Course gani hazipo DUCE ? kuwa muwaziHello,
Je mtu akitaka kushift kutoka DUCE kwenda main campus inawezekana? First year GPA 4.8 , na ni step zipi za muhimu za kufata
Reason: kuna course ambazo hazipo Duce Bali zipo UDSM main campus kwa mwaka wa pili na wa tatu ambazo muhusika anataka to take along with his degree
Thanks in advance
Ni ngumu mkuu japo sikutishi!! Afu Hakuna Programmes au courses ipo Kwenye hizo Tawi za mlimani afu zisiwepo Main Campus hakuna!!Is it possible at first place?