Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
utamtamanije Mamndenyi akati ID yake imesuguliwa kuliko yako fanya iwe red red uone kama manndenyi hajakukubali
mtakatifu unanitamanije mimi kondoo wako
au unataka kunivuta zaidi kundini.
Mpenzi niache kabisa mi na Mamndenyi sababu wakati wanajenga lile kanisa pale Kotela alikuwa na miaka kumi sasa usiniulize mimi nilikuwa na miaka mingapi wakati huo....
heeeee makubwa
yamekuwa hayo tena
ama kweli kuishi kwingi ni sawa na kuona mengi St. Paka Mweusi hadi kuleeee unakujua
haya bhana,
samawe saa wasoro waiuto
samawe saa wendeinga mawe
samawe saa wajenga hekalu, hekalu lya mamba.
mi niliimba huo wewe je?
Tatizo ni kuwa hatukutani tu kule tunapoenda kutoa sadaka ila umeshapata mtu wa kukukopesha ukianguka kidogo ,na wala sitakudai malipo,unajua mwenyewe........
mimi nasikilizaga hizi hapa
View attachment 95303
anza wewe uje unipe maujuzi .pliz be my rol model