princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeongea kwa hisiaNi msemo wa kijinga na wajinga ndo wanaoutumia
We umeusikia wap kwan?huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
jf jokes umejaa sanaWe umeusikia wap kwan?
sio nikuletee home kwakoPeleka Facebook huo ijinga
Okey, basi umetokea JF!!!jf jokes umejaa sana
kila thread sitaki ujinga.
whtsapp ndo hayo ma sms yamejaa najiuliza nani kautunga huu msemoOkey, basi umetokea JF!!!
Mi huu msemo wa sipendi ujinga maana hata mimi huwa nauchukia na huwa mtu akituma sms imeishia hivyo huwa sijibu maana sipendi ujinga kabisa allah!huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
[emoji23][emoji23]Mi huu msemo wa sipendi ujinga maana hata mimi huwa nauchukia na huwa mtu akituma sms imeishia hivyo huwa sijibu maana sipendi ujinga kabisa allah!
huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]sipendi ujingaJinsi ya kuondoa pattern lock kwenye cm ya mumeo/mpnz wako..........!!!
Kwanza muwekee maji ya kuoga akienda kuoga chukua cm yake iweke chaji kwa angalau asilimia 80 kisha muandalie chakula akishakula kaeni angalieni Tv kwa saa 2 mukipiga story za kujenga kisha kaitoe cm mpe mwenyewe cm yake utakuwa umejifunza jinsi ya kumuhudumia mumeo shenzy sana.............
[HASHTAG]#Unataka[/HASHTAG] kuona nini kwenye cm umbea tu utakufa kwa presha cheza nafas yako, michepuko n matokeo ya uzembe wako tu![emoji85][emoji85][emoji85]‼ sipendagi ujinga mm
nataka ujinga kwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipendi ujinga mimi kwa ujinga mdogomdogo