Nataka ujinga kwani mimi?

nataka ujinga kwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sipendag kabisa ujinga mm
 
*```Usiku nimeota ndoto nimekamatwa na polisi na kupakiwa kwenye difenda kuelekea kituoni.```*
*```Sa wakati tunakaribia kufika kituo cha polisi,nikaamua zangu kushtuka.```*

*```Sipendagi Ujinga Mimi```*
 
Ukichukua simu ya demu wako halafu pale kwenye most used emoji unakuta zimejaa [emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji182][emoji182] halafu we kila siku anakutumia [emoji603][emoji382][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji385][emoji30][emoji30] jua kuna mwanaume mmoja ambae hapendagi ujinga.
 
huu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
Ni msemo wa kijinga unaoshadadiwa na watanzania tena kizazi cha mitandao....afu eti tuje tutengeze basic material a.k.a made in Tanzania ahaa ahaaa bongoland lala mind
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…