nataka umeme jamani.

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Amani
iwe nanyi ndugu zangu kwa heshima yangu kwenu naomba kuwasilisha
matokeo kidato cha nne fulani ili uweze kunijuza kama inawezakana kwa
matokeo hayo muhusika akapata chuo cha umeme popote Tz iwe dip au cert
ikiwezekana unijuze na upatikanaji wa ajira baada ya kumaliza mafunzo
hayo.Matokeo hayo nikama ifuatavyo:
physics C
chemistry D
biology C
mathematics F
Kiswahili C n.k
muhusika anapenda fani ya umeme kutoka moyoni kuliko fani yoyote
Duniani,ushauri wako tafadhali asante.
 
Naona ana credit aende advance kwanza pcb pia anaweza kusoma digree ya electronic acwe na haraka.
 
Naona ana credit aende
advance kwanza pcb pia anaweza kusoma digree ya electronic acwe na
haraka.

advance labda achukue art lakini science haiwezekani kwasababu ana f ya math.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…