Nataka utajiri

Nataka utajiri

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Nina Sh laki tano. Naomba ushauri nifanye biashara gani ili NITOKE!
 
Nunua au tengeneza vitoroli vya chuma vyenye mataili ya baiskeli vitatu (kimoja huanzia Tsh 150,000 hadi 200,000) kisha wakabidhi vijana wawe wanafanyia kazi na kukulipa kiasi fulani cha fedha kwa siku au kwa wiki. Mfano ukiwa unapata Tsh 2,500/- kwa kila kitoroli kwa siku, kwa vitatu utakuwa na Tsh 2,500 X vitoroli 3 X siku 30 = Tsh 225,000/- kwa mwezi. Ukiwa serious unaweza kutengeneza vitoroli vipya kila mwezi kila unapopata mapato hadi ukawa navyo vya kutosha na kuwakabidhi vijana katika maeneo mbalimbali kulingana na eneo ulipo. Chukulia mfano ukiwa navyo 100, kwa mwezi utakuwa unaingiza kiasi gani?
 
Hili nalo wazo babu kubwa, ila sasa uwe na hao vijana na kuwe na kazi za kufanya.
 
· 2 - Tafuta frem eneo lililochangamka na lenye maduka mengi na lililo barabarani ufungue ofisi ya kuuza vocha kwa jumla inalipa.

· 3 - Fanya biashara ya kusupply products zinazohitajika katika mini supermarkets mbalimbali katika eneo ulipo, mfano mchele, unga, sukari, bites, maji, juice, cakes, na vinginevyo.
 
Hili nalo wazo babu kubwa, ila sasa uwe na hao vijana na kuwe na kazi za kufanya.

ukipata vijana unaowamini itakulipa maana wengi huwa wahuni anakwambia leo mambo hayakuwa mazuri, analimbikiza deni akiona unamdai imefika elfu kumi anaacha toroli anaingia mitini ila ukipata vijana waminifu utafurahi.
 
Back
Top Bottom