Nataka waganga wa kienyeji wanipe dawa ya mapenzi

Nataka waganga wa kienyeji wanipe dawa ya mapenzi

UtUpe marejesho endapo ukipata n kama inafanya kazi..unawaza uzizi tyu
 
Unachokitafuta, utakipata tu. Umetembea na wasichana 25. Au ndo tatizo ndugu?

Tafakari chukua hatua
 
Sasa si utulie na hao wachache uliowapata? Yani ishirini na tano alafu wote uwati.e...wewe...
sie wengine tupate wapi?
 
Sasa unatongoza wooote hao unataka usikataliwe hata na mmoja???
kwani unaloomba ni chungwa au embe ilo??
tafuta ela ufanye maisha stupid wewe
 
Mganga atakwambia dawa ni kutafuta pesa...
 
Hivi shule hazijafunguliwa tu..Unawaza uzinzi tu..😡😡
Ushauri wangu"Shindwa pepo la Ngono katika Jina La Yesu Aliye Hai" Kijana Unaitaji maombi..
 
Kwali ulikua wataka uwafaidi wadunia nzima, embu tuliza dushe lako
 
pia mwambie huyo mganga akufanyie na mpango wa wa chanjo ya ukimwi.😀😀
 
Mchawi pesa
uchawi wa kizungu gari
 
Back
Top Bottom