Nataka ya peke yangu mie

Nataka ya peke yangu mie

Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata.
 
Kama huo mwiko wa kupikia hilo jiko utapikia kwenye jiko moja, utampata.
Unajua majiko mengine makubwa sana kama yale ya kwenye sherehe au msiba kwahiyo unahitaji miiko miwili au zaidi lol
 
Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki
 
Njoo chukua la kwangu la mchina ila usisahau kupita kwa mangi na chupa ya maftataa, miye cku hiz sipiki

Uzuri sisi wengine baba alitukataza kula kwa watu,
kama hupikagi poa tu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom