Natakafuta rafiki wa kubadilishana naye mawazo

Natakafuta rafiki wa kubadilishana naye mawazo

Kama mtakuwa makini mtaona kuna ID nyingi zimejiunga karibuni zikisema zinatafuta mwanaume huu uzi wa pili nauona sasa na ni ID MPYA, tunKumbushana tu
 
Hivi unafikiri lucas mwashamba hayupo kwenye payroll mpaka Leo sababu gani? Amezidiwa nguvu na upinzani sasahiv anakuja na njia mbadala
Kwa hyo ndio anajifanya mchuchu ili anase watu , mwambie akicheza atanasa humo moja kwa moja.
 
Wapendwa natafuta rafik wa kubadirishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mm ni mwanamke wa miaka 33 ninae jielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
Alafu nyie tukija PM kule mnakua mnauliza maswali ya ajabu ajabu mukome... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom