Natakakusoma hesabu chuo kikuu bila kupitia form iv

hesabu ni rahisi kama una msingi wake na unaipenda lakini ukiruka hatua za kujifunza hesabu utajkuta unaipenda lakini inakukamata ndo maana unaana kujifunza kujumlisha namba nzima darasa a kwanza na form six ni kama darasa la kwanza kwa elimu ya chuo kikuu labda nisijue vyuo vingine but chuo nilichopo mimi hesabu ni mwendelezo wa niliyoyasoma form six
 
Habari zenu wana JF naombeni ushauri;nahitaji kusomea BED in mathematics ila sijasomea hesabu form 6, nimesoma o-leval nilipata C ya hesabu kwani nilikuwa naipenda sana hesabu mpaka leo bado naipenda,ila watu wananishauri kwamba nisisubutu kusomea hesabu chuo kikuu kwani ni ngumu. Nina diploma ya Human Resource Mgm(1st class) nilitokea moja kwa moja frm 4 sikupitia frm 6,ila nimepania kusoma kwa juhuudi hiyo hesabu.Naombeni ushauri wenu wa aina yeyote nitaupokea kwa masomo ya degree hususani yenye hesabu nitafurahi zaidi.

Nawasilisha.

kama umejipanga kapige usiogope kk ila nakushauri uchague serikalini
 
Mkuu nashukuru sana na nazidi kupokea maoni yenu,kuhusu majibu ya maswali yako ni hivi;
•Nimesoma hesabu za statistics na accountants
•Nahitaji kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia o-leval,ndio maana nataka kuchukua education in mathematics.
Naendelea kupokea mawazo yako mkuu.
Sijajua huko BED wanafundisha hesabu za aina gani ila kama ni pure mathematics ambayo sidhani kama inafundishwa huko kwenye accountants basi kazi utakuwa nayo si kidogo. Cha msingi usikatishwe tamaa na watu, hii kitu unaweza kabisa kufanya kama unapenda hesabu. Hesabu bwana ujanja wake ni kufanya mazoezi ya kutosha kwa sababu uzuri wa hesabu ukishajua principles kila kitu kinakuwa rahisi. Kama nilivyokwambia mwanzoni unatakiwa kuhakikisha haipiti siku hujafanya hesabu, utaweza tu. Ukifikia chuo chukulia hesabu ni kama chai vile au msosi wa jioni.

Kimsingi hesabu ni rahisi sana tatizo wengi wa wanafunzi wa kibongo hawana misingi mizuri. Mimi nakumbuka nilipokuwa A-level somo nililokuwa naona ni rahisi kupita yote ni hiyo Advanced Mathematics.
 
Ahsante sana kaka kwa ushauri wako,umenifariji sana ingawa nimekatishwa tamaa na ushauri niliopewa na baadhi ya wajumbe, sasa nafikilia kuchukua barchelor of education in comerce. nako hapo sijui mnanishaurije.
 
Wewe usiogope kama kweli unapenda hesabu fuata ushauri naokupa utaweza tu. Tatizo watu wengi wanaojua hesabu huwa wanapenda kujiona wana akili nyingi sana na ndio maana wengi wao hapa wanakukatisha tamaa. Hata ukienda pale UD wahadhiri wanaojua hesabu huwa wanajiona wako juu sana, sijajua sababu. Ila sio kweli kwamba hesabu ni ngumu hususani kama una mapenzi ya dhati na hili somo.

All in all angalia kile unachoona kinafaa zaidi ila sitapenda kupoteza mwanahesabu kwa kuwa kuna watu wanakwambia hesabu ni ngumu. Kumbuka hesabu sio ngumu hata kidogo.
 
Da asante sana mjasiria we unafaa kuwa mwalimu maana unaushauri wa kutia moyo,kama ulivyosema ni kweli kabisa baadhi ya wanaojua hili somo mh!...,wacha nijaribu kwa moyo wote.
 
Jipe moyo ndugu yangu mi nimeshawaona wanaosoma km wewe na wanamaliza cha msingi kujishughulisha tu,fuatilia ushauri wa samvurah
 
Ukweli ni kwamba hutoweza, advance kuna hesabu si mchezo, Pure mathematics mziki mwingine kwa mtu aliyetoka na C OLevel hesabu za pure hujasoma afu bado uiie chuo moja kwa moja utaanza na F mwaka mzima.. utajikuta huelewi chochote kile anachofundisha zaidi ya kuzidisha kugawa au kujumlisha... Wapo waliomaliza na A za maths form four lakini wakapata F form six wengi tu ujue gumu wake,mafunwewe ukutane nayo hujaisoma hata siku moja na ulikua na C.. Hapo pagumu sio siri, unahitaji angalau mwaka mzima upige hesabu ya advance..
 
mkuu hao wanaokufariji uende tu chuo huku hujasoma hesabu ya advance eti kisa unaipenda, wanakudanganya na hawakutakii mema msingi wa hesabu ya chuo ni Advanced mathematics.
na hyo hesabu uliosoma O level na chuo ulipomaliza ni sawa na asilimia ndogo sana ya PURE... hesabu kama complex, calculus, trigonometry, hyperbolic fxn si za mchezo ukienda kwa kukurupuka utakuta ndoto zako zinaishia njiani.

USHAURI# piga tuition ya Advanced Mathematics si chini ya miezi sita then nenda huko chuo utanambia.. itakua muendelezo tu.
Nakutakia mema.
 
itakulazimu uanzie ngazi ya chini kabisa ili ikwie rahisi tofauti na hivyo utadisco chuo na kupoteza fedha zako bure
 
penye nia pana njia angalia wewe unapenda nini kisha fuata moyo wako utafanikiwa tu.Sio kila kilicho kigumu kwangu vilevile kitakuwa kigumu kwa wengine.Soma kwa bidii utafanikiwa tu katika malengo yako
 
Shkamoo hesabu za kirumi! Kwa hiyo V ni FOUR? Na IV ni nini? Kweli nimezeeka. Nimekumbuka hesabu za mashine.

snowhite njoo ushauri vijana
Tatizo lako wewe umejiwekea kukosoa tu....kwanini? inakusaidia? hujasoma line nzima? umechagua hapo tu..kuna tatizo mahali nadhani
 
foundation huna hesabu o level C sio kigezo hata kama ungepata A kama hujasoma advanced maths bado utaenda kupata tabu,tafuta ushauri kwa watu waliosoma maths wengine watakuongopea tu.Maana wanavyoona mtu anaenda kusoma degree geog au hist japo hawakusoma adv wanadhani hata kwenye maths
 
Ukweli ni kwamba hutoweza, advance kuna hesabu si mchezo, Pure mathematics mziki mwingine kwa mtu aliyetoka na C OLevel hesabu za pure hujasoma afu bado uiie chuo moja kwa moja utaanza na F mwaka mzima.. utajikuta huelewi chochote kile anachofundisha zaidi ya kuzidisha kugawa au kujumlisha... Wapo waliomaliza na A za maths form four lakini wakapata F form six wengi tu ujue gumu wake,mafunwewe ukutane nayo hujaisoma hata siku moja na ulikua na C.. Hapo pagumu sio siri, unahitaji angalau mwaka mzima upige hesabu ya advance..
Ok! Nashukuru kwa ushauri wako, lkn vipi kama ntakazana kwa semister ya kwanza halafu kila likizo ya kujiandaa kuingia semister inayofuata niwe nasoma tuition ya hesabu zijazo kwani ntakua nimeshajua topic za semister ijayo.
 
mkuu hao wanaokufariji uende tu chuo huku hujasoma hesabu ya advance eti kisa unaipenda, wanakudanganya na hawakutakii mema msingi wa hesabu ya chuo ni Advanced mathematics.
na hyo hesabu uliosoma O level na chuo ulipomaliza ni sawa na asilimia ndogo sana ya PURE... hesabu kama complex, calculus, trigonometry, hyperbolic fxn si za mchezo ukienda kwa kukurupuka utakuta ndoto zako zinaishia njiani.

USHAURI# piga tuition ya Advanced Mathematics si chini ya miezi sita then nenda huko chuo utanambia.. itakua muendelezo tu.
Nakutakia mema.

Thanks Landcruiser kwa ushauri wako, lkn vipi kama ntakazana kwa semister ya kwanza ambayo nahisi itakuwa haina topic ngumu kama hizo ulizozitaja halafu kila likizo ya kujiandaa kuingia semister inayofuata niwe nasoma tuition ya hesabu zijazo kwani ntakua nimeshajua topic za semister ijayo.unasemaje hapo mkuu?
 
penye nia pana njia angalia wewe unapenda nini kisha fuata moyo wako utafanikiwa tu.Sio kila kilicho kigumu kwangu vilevile kitakuwa kigumu kwa wengine.Soma kwa bidii utafanikiwa tu katika malengo yako

Ahsante sana kwa ushauri kaka miye
 
foundation huna hesabu o level C sio kigezo hata kama ungepata A kama hujasoma advanced maths bado utaenda kupata tabu,tafuta ushauri kwa watu waliosoma maths wengine watakuongopea tu.Maana wanavyoona mtu anaenda kusoma degree geog au hist japo hawakusoma adv wanadhani hata kwenye maths

Nashukuru the muter, lakini kunawalionishauri ambao wamesoma maths kama mjasiria, ameniambia asingependa kumpoteza member kwenye hesabu.but all in all I respecting your ideal,thanks.
 
Back
Top Bottom