HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Habari zenu wana JF naombeni ushauri;nahitaji kusomea BED in mathematics ila sijasomea hesabu form 6, nimesoma o-leval nilipata C ya hesabu kwani nilikuwa naipenda sana hesabu mpaka leo bado naipenda,ila watu wananishauri kwamba nisisubutu kusomea hesabu chuo kikuu kwani ni ngumu. Nina diploma ya Human Resource Mgm(1st class) nilitokea moja kwa moja frm 4 sikupitia frm 6,ila nimepania kusoma kwa juhuudi hiyo hesabu.Naombeni ushauri wenu wa aina yeyote nitaupokea kwa masomo ya degree hususani yenye hesabu nitafurahi zaidi.
Nawasilisha.
Sijajua huko BED wanafundisha hesabu za aina gani ila kama ni pure mathematics ambayo sidhani kama inafundishwa huko kwenye accountants basi kazi utakuwa nayo si kidogo. Cha msingi usikatishwe tamaa na watu, hii kitu unaweza kabisa kufanya kama unapenda hesabu. Hesabu bwana ujanja wake ni kufanya mazoezi ya kutosha kwa sababu uzuri wa hesabu ukishajua principles kila kitu kinakuwa rahisi. Kama nilivyokwambia mwanzoni unatakiwa kuhakikisha haipiti siku hujafanya hesabu, utaweza tu. Ukifikia chuo chukulia hesabu ni kama chai vile au msosi wa jioni.Mkuu nashukuru sana na nazidi kupokea maoni yenu,kuhusu majibu ya maswali yako ni hivi;
Nimesoma hesabu za statistics na accountants
Nahitaji kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia o-leval,ndio maana nataka kuchukua education in mathematics.
Naendelea kupokea mawazo yako mkuu.
Ahsante sana kaka kwa ushauri wako,umenifariji sana ingawa nimekatishwa tamaa na ushauri niliopewa na baadhi ya wajumbe, sasa nafikilia kuchukua barchelor of education in comerce. nako hapo sijui mnanishaurije.Sijajua huko BED wanafundisha hesabu za aina gani ila kama ni pure mathematics ambayo sidhani kama inafundishwa huko kwenye accountants basi kazi utakuwa nayo si kidogo. Cha msingi usikatishwe tamaa na watu, hii kitu unaweza kabisa kufanya kama unapenda hesabu. Hesabu bwana ujanja wake ni kufanya mazoezi ya kutosha kwa sababu uzuri wa hesabu ukishajua principles kila kitu kinakuwa rahisi. Kama nilivyokwambia mwanzoni unatakiwa kuhakikisha haipiti siku hujafanya hesabu, utaweza tu. Ukifikia chuo chukulia hesabu ni kama chai vile au msosi wa jioni.
Kimsingi hesabu ni rahisi sana tatizo wengi wa wanafunzi wa kibongo hawana misingi mizuri. Mimi nakumbuka nilipokuwa A-level somo nililokuwa naona ni rahisi kupita yote ni hiyo Advanced Mathematics.
Wewe usiogope kama kweli unapenda hesabu fuata ushauri naokupa utaweza tu. Tatizo watu wengi wanaojua hesabu huwa wanapenda kujiona wana akili nyingi sana na ndio maana wengi wao hapa wanakukatisha tamaa. Hata ukienda pale UD wahadhiri wanaojua hesabu huwa wanajiona wako juu sana, sijajua sababu. Ila sio kweli kwamba hesabu ni ngumu hususani kama una mapenzi ya dhati na hili somo.Ahsante sana kaka kwa ushauri wako,umenifariji sana ingawa nimekatishwa tamaa na ushauri niliopewa na baadhi ya wajumbe, sasa nafikilia kuchukua barchelor of education in comerce. nako hapo sijui mnanishaurije.
Wewe usiogope kama kweli unapenda hesabu fuata ushauri naokupa utaweza tu. Tatizo watu wengi wanaojua hesabu huwa wanapenda kujiona wana akili nyingi sana na ndio maana wengi wao hapa wanakukatisha tamaa. Hata ukienda pale UD wahadhiri wanaojua hesabu huwa wanajiona wako juu sana, sijajua sababu. Ila sio kweli kwamba hesabu ni ngumu hususani kama una mapenzi ya dhati na hili somo.
All in all angalia kile unachoona kinafaa zaidi ila sitapenda kupoteza mwanahesabu kwa kuwa kuna watu wanakwambia hesabu ni ngumu. Kumbuka hesabu sio ngumu hata kidogo.
Tatizo lako wewe umejiwekea kukosoa tu....kwanini? inakusaidia? hujasoma line nzima? umechagua hapo tu..kuna tatizo mahali nadhaniShkamoo hesabu za kirumi! Kwa hiyo V ni FOUR? Na IV ni nini? Kweli nimezeeka. Nimekumbuka hesabu za mashine.
snowhite njoo ushauri vijana
Ok! Nashukuru kwa ushauri wako, lkn vipi kama ntakazana kwa semister ya kwanza halafu kila likizo ya kujiandaa kuingia semister inayofuata niwe nasoma tuition ya hesabu zijazo kwani ntakua nimeshajua topic za semister ijayo.Ukweli ni kwamba hutoweza, advance kuna hesabu si mchezo, Pure mathematics mziki mwingine kwa mtu aliyetoka na C OLevel hesabu za pure hujasoma afu bado uiie chuo moja kwa moja utaanza na F mwaka mzima.. utajikuta huelewi chochote kile anachofundisha zaidi ya kuzidisha kugawa au kujumlisha... Wapo waliomaliza na A za maths form four lakini wakapata F form six wengi tu ujue gumu wake,mafunwewe ukutane nayo hujaisoma hata siku moja na ulikua na C.. Hapo pagumu sio siri, unahitaji angalau mwaka mzima upige hesabu ya advance..
mkuu hao wanaokufariji uende tu chuo huku hujasoma hesabu ya advance eti kisa unaipenda, wanakudanganya na hawakutakii mema msingi wa hesabu ya chuo ni Advanced mathematics.
na hyo hesabu uliosoma O level na chuo ulipomaliza ni sawa na asilimia ndogo sana ya PURE... hesabu kama complex, calculus, trigonometry, hyperbolic fxn si za mchezo ukienda kwa kukurupuka utakuta ndoto zako zinaishia njiani.
USHAURI# piga tuition ya Advanced Mathematics si chini ya miezi sita then nenda huko chuo utanambia.. itakua muendelezo tu.
Nakutakia mema.
foundation huna hesabu o level C sio kigezo hata kama ungepata A kama hujasoma advanced maths bado utaenda kupata tabu,tafuta ushauri kwa watu waliosoma maths wengine watakuongopea tu.Maana wanavyoona mtu anaenda kusoma degree geog au hist japo hawakusoma adv wanadhani hata kwenye maths