Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Habari wadau,

Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami.

Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata usumbufu wowote uko mbeleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…