Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
I Google mkuu.. Utapata maelezo yoteAsante...hiyo dawa niyanin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I Google mkuu.. Utapata maelezo yoteAsante...hiyo dawa niyanin
Kama utaweza kuzingatia mazoezi ya mwili kidogo, Naweza kufundisha namna nzuri ya kufanya mazoezi ya kegel juu ya tatizo lako?Habari wakuu, nimefanya vipimo juu ya tatizo langu la nguvu za kiume..shida imekuja kuonekana kuwa mirija yangu ya kwenye uume ni miembamba haileti damu nyingi kwenye uume ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibidi kurudia roundi nyingine...
Kwahiyo daktari kasema kuwa hakuna tiba nyingine zaidi yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo na kuweza kurudia roud nyingene maana ilikuwa kurudia round ni baada ya masaa 8.
Wakuu ni njia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume?
Daktar kanipa dawa zakuogeza nguvu nichelewe kumaliza pia zakunipa starmina,nakuboresha mbeguOK pole sana mkuu
Wanaweka tube ambayo unaijaza upepo inatanuka uume unasimama kwa mda mrefu utafanya utakavyoSo huo upandikzaji wa mishipa unafanyikaje sasa ?
Wanapasua uume na kuweka miship mingine au
So huo upandikzaji wa mishipa unafanyikaje sasa ?
Wanapasua uume na kuweka miship mingine au
Pole Mkuu.Habari wakuu, nimefanya vipimo juu ya tatizo langu la nguvu za kiume..shida imekuja kuonekana kuwa mirija yangu ya kwenye uume ni miembamba haileti damu nyingi kwenye uume ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibidi kurudia roundi nyingine...
Kwahiyo daktari kasema kuwa hakuna tiba nyingine zaidi yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo na kuweza kurudia roud nyingene maana ilikuwa kurudia round ni baada ya masaa 8.
Wakuu ni njia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume?
Nikweli mkuu nshaleta malalamiko hayo hata siuongo namatatizo hayo ninayoPole Mkuu.
Lkn mkuu mbali na hilo tatizo kwa Ujumla inaonyesha labda una tatizo la maumbile kwa ujumla.
Hapa JF pekee umeshaleta malalamiko ya kuumwa magonjwa zaidi ya 5.
1. Unapata choo kigumu.
2. Una Goitre
3. Una kinyama cha Ulimi.
4. Una Bawasiri
5. Una ,........
6. Una ....
Usikate tamaa.
Umejichunguza mnooo na wakati mwingine hizi hospitali zetu utakuja kupewa majibu ya Vipimo hadi ujiue kwa presha! Vumiliana na hali yako, Fanya Mazoezi, Acha mawazo, Ishi kadri ya alichokujaalia mwenyezi Mungu. Uwezo wako wa kufanya tendo Mungu kakupa bao 1 kwa masaa 24 wewe unataka upige Bao 4 ndani ya Masaa 24 Je Moyo wako utamudu huo mziki? Au ndio utazusha gonjwa jipya la Shinikizo la Damu?
NtamtafutaDodoma Benjamin Mkapa kuna daktari mzuri sana Urologist. Ni super specialist. Mwezi huu wamepandikiza uume kwa mgonjwa. Anaitwa Dr Remigius
Mbez beach hii mkulu 😁Iko wapi?
Unazingua ujue!
Nenda regency hospital DSM wanafanya hivyo vipimo unavyohitajiNi hospitali gani mkuu?
Hata jina tu la hospitali huwezi kulitaja? Nahitaji kufanya comprehensive blood work ndiyo maana naulizia. Yaani wanakutoa damu kwenye mkono halafu wanapima karibu kila kitu - cholesterol, sukari, Triglycerides, protein mbalimbali mpaka zile zinazoashiria baadhi ya kansa n.k
Nataka tu kujua jina la hospitali/lab ulikofanyia hivi vipimo mkuu kama inawezekana
Asante sana mkuu 🙏🏿Nenda regency hospital DSM wanafanya hivyo vipimo unavyohitaji
mkuu hiyo penile doppler uss umeifanyia hospitali gani? ila pole sana mkuu nimeona nyuzi nyingi ukilalamikia hilo tatizo lako dah nakuombea Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi upone mkuu kabisa.Nimehangaika nayo kwa miaka 9 Kila daktar alikua anasema Niko sawa ni ishu yakisaikilojia zaidi..so huyu wasasa alipendekeza vipimo vyote kuanzia hormone, cholesterol, t3, t4, TSH, BP, sugar, testosterone.lh fertility hormones, penile Doppler uss na kuangalia mishipa ktk uume kama Iko vizur ndo kuja kuona kuwa mishipa ni miembamba kwahiyo damu ni ndogo inayokuwa ktk uume sababu ya mishipa miembamba hivyo kufanya uume uiswe strong na kuweza kurudia round nyingine ndani ya muda mfupi
mkongo usijaribu kabisa huo ndio utakuongezea tatizo kabisa mimi mpaka saa ivi unanisumbua yaniNimeandikwa madawa yakizungu yakutumia mwezi mmoja. Dawa zakimasai sihadi nimpate anaejua vizur na mkogo naskia humu wanasema hauna ishu sababu haukupi furaha yatendo sababu unakaa masaa mengi bila kukojoa
Unakusumbuaje mkongomkongo usijaribu kabisa huo ndio utakuongezea tatizo kabisa mimi mpaka saa ivi unanisumbua yani
kuna mda nakuwa na hisia na kuna muda sina kabisa nadhani effect yake bado ipo mpaka saa iviUnakusumbuaje mkongo
Kwaiyo mkuu umeshapata suluhu ya tatizo lako ama badokuna mda nakuwa na hisia na kuna muda sina kabisa nadhani effect yake bado ipo mpaka saa ivi
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .
Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume