Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Kama utaweza kuzingatia mazoezi ya mwili kidogo, Naweza kufundisha namna nzuri ya kufanya mazoezi ya kegel juu ya tatizo lako?
 
So huo upandikzaji wa mishipa unafanyikaje sasa ?

Wanapasua uume na kuweka miship mingine au
 
So huo upandikzaji wa mishipa unafanyikaje sasa ?

Wanapasua uume na kuweka miship mingine au
Wanaweka tube ambayo unaijaza upepo inatanuka uume unasimama kwa mda mrefu utafanya utakavyo
 
Duniani kuna mahangaiko aiseeee nikipata shida kama hii sitakuwa na muda kazi itakuwa ni kusousou tu 🍻
 
So huo upandikzaji wa mishipa unafanyikaje sasa ?

Wanapasua uume na kuweka miship mingine au

Unaona hapo kwenye rangi= erect cylinder. Ndo damu hujaa na kuganda, alafu baada ya kufika kileleni damu huludi kwenye mzunguko wake, kwa hiyo damu ikiwa chche kwenye huo mrija mbolo inatasimama kwa ulegezu [ taili upepo unakua mchache]

alafu sphincter muscle zina funga njia ya mkojo, ndo maana uume ukisima huwezi kukojoa mkojo,
 
Pole Mkuu.
Lkn mkuu mbali na hilo tatizo kwa Ujumla inaonyesha labda una tatizo la maumbile kwa ujumla.
Hapa JF pekee umeshaleta malalamiko ya kuumwa magonjwa zaidi ya 5.
1. Unapata choo kigumu.
2. Una Goitre
3. Una kinyama cha Ulimi.
4. Una Bawasiri
5. Una ,........
6. Una ....
Usikate tamaa.
Umejichunguza mnooo na wakati mwingine hizi hospitali zetu utakuja kupewa majibu ya Vipimo hadi ujiue kwa presha! Vumiliana na hali yako, Fanya Mazoezi, Acha mawazo, Ishi kadri ya alichokujaalia mwenyezi Mungu. Uwezo wako wa kufanya tendo Mungu kakupa bao 1 kwa masaa 24 wewe unataka upige Bao 4 ndani ya Masaa 24 Je Moyo wako utamudu huo mziki? Au ndio utazusha gonjwa jipya la Shinikizo la Damu?
 
Nikweli mkuu nshaleta malalamiko hayo hata siuongo namatatizo hayo ninayo
 
Dodoma Benjamin Mkapa kuna daktari mzuri sana Urologist. Ni super specialist. Mwezi huu wamepandikiza uume kwa mgonjwa. Anaitwa Dr Remigius
 
Nenda regency hospital DSM wanafanya hivyo vipimo unavyohitaji
 
mkuu hiyo penile doppler uss umeifanyia hospitali gani? ila pole sana mkuu nimeona nyuzi nyingi ukilalamikia hilo tatizo lako dah nakuombea Mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi upone mkuu kabisa.
 
Nimeandikwa madawa yakizungu yakutumia mwezi mmoja. Dawa zakimasai sihadi nimpate anaejua vizur na mkogo naskia humu wanasema hauna ishu sababu haukupi furaha yatendo sababu unakaa masaa mengi bila kukojoa
mkongo usijaribu kabisa huo ndio utakuongezea tatizo kabisa mimi mpaka saa ivi unanisumbua yani
 
Usijisumbue na hayo mambo ya kwenda kupanua mishipa ya uume .

Tuliza akili , tafuta tiba mbadala bila kusahau kuwa hayo matatizo yanaanzia kwenye fikra zako ila simpingi daktari ila nakuambia achana na hizo habari za hospitalini kuhusu nguvu za uume

Yan uyu kupona ni kazi sana maana amepata tatizo tayari anamwenza, hapo anapresha yakutaka tiba ya haraka ili amudu mahitaji ya kingono kwa mwenzi wake na hapo ndo stress zinapoanzia.

Kupona bila vipandikizi anaweza, lakini inabidi ajipe muda na asiwe na stress, ikibidi amtoe kwanza mwezi wake akae mwenyewe hata miezi sita akinywa dawa na vyakula muhimu kwa tatizo lake na kufanya mazoezi yanayowezekana.

Haya hutukuta wanaume wengi na kama mwenzi wako ni mzuri huwezi kukubali sababu unajua soon tu unagongewa mkeo na ndo ukweli hua ivo90% na hua inauma sana kupita kiasi ndo wengi huishia kudumbukia kwenye utumiaji wa madawa makali ya kusukuma damu kama Viagra and etc mwisho ni stress na kifo.

Usiombe umpende mwanamke kweli kweli akukubalie vizuri tuu alafu uje ushindwe kwenye pesa au nguvu za kiume, hakuna mashozi utaacha kutoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…