Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Tunao usalama hata hapa nilipo kaa lipo linakunywa mabia tyuuuu!
Simlaumu yoyote nje ya boss wao yaani mpaka watu wanaingia nchini wanajificha wewe hukuwa na news au wataka niamini ulikuwa unamuujumu Samia Suluhu Hassan?
Narudia yaliyotokea tuambiwe ni polisi au usalama au kesho liliuwa raia 500 kwa siku?