Nataman kupima HIV ila mmmh..!!

Nataman kupima HIV ila mmmh..!!

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Wakuu me nataman kupima HIV but uwoga umentawala kwenda hosptal japo mwenzangu kla siku anang'ang'ania tukapme .kla tarehe ikipangwa mie natafuta 7bu ya kutoenda .ikabid nianze kuomba ushaur kwa ndug jamaa .nilipata mawazo meng tu kama mawazo yenu mnayofkiria baadh yenu .me sikuridhka na mawazo yote isipo kuwa kuna mt u alnambia kuna kifaa kinauzwa nijipime mwenyewe then nfanye uamuz wa kwenda kwa matokeo ambayo yanauhakika 70% sasa naomba kuulza n kwel hvyo vfaa vpo au laa na tmwenye uelewa na hili anifungue
 
Kapime tu Mkuu, najua woga haukosekani maana uwezekano wa majibu kuwa mazuri au mabaya ni 50/50 ndio maana una wasiwasi. Piga moyo konde ukajue afya yako kwenye hili inasimama wapi. Kuna watu hapa walipima na walihadithia jinsi woga ulivyowakosesha raha, usingizi n.k. lakini majibu yalipokuwa mazuri walikuja hapa na furaha tele.
 
kapime tu.. utatoka na furaha mwisho wa cku afu utakua mtu makini maana utakua umejifunza woga wake ulivo
hamna raha ka kupima ukakuta neg.. unakua unajiamini sasa kupima hata mara kumi ukitaka
 
Niambie kwanza kama ukikutwa huna utaacha michepuke ili nikupe njia rahisi.
 
Aliluwepo alaf cunajua huko way back nshapekua sn so was was unaponijaa kila nnapo anza kumchambua mwanamke mmoja baada ya mwngne ktk wote tulio do maana haka kamchezo ibilis wake aliniingia form two kishule shule .kwa hyo mkuu kuna vfaa vya kujpma mwenyewe ? Mfano kile cha kupma ujauzto
Niambie kwanza kama ukikutwa huna utaacha michepuke ili nikupe njia rahisi.
 
Waungwana mngenijibu swal langu ningewaona wamana kwel. Hcho kifaa kpo au hakpo?
 
Waungwana mngenijibu swal langu ningewaona wamana kwel. Hcho kifaa kpo au hakpo?
kipo nenda phamarcy kubwa nadhani wanavyo,hata mimi demu wangu alikua anaogopa akaanza kutizamia na hako kadude ndio akapata nguvu ya kwenda hospital
 
We jamaa acha woga..ukimwi siyo ugonjwa wa kutisha siku izi...mi nimepima ebola juzi pale AMI Hosp nimekutwa niko fresh itakuwa huo ukimwi..!!
 
Waungwana mngenijibu swal langu ningewaona wamana kwel. Hcho kifaa kpo au hakpo?

Bwana mdogo wacha woga....Yes.hicho.kifaa kipoa ckumbuki vzr jina nadhani kinaitwa BIOLEN km cjakosea kipo km sigara kina matundu mawili 1 niyakuwekea matone ya Damu na sehem ya pili niyakuweka dawa kuilainisha dam km ni nzito iweze kutembea Majibu nikwamba damu ikishapita Ukiona imejichora mistari miWILI manake umekanyaga MOTO ukiona Mstari mmoja manake uko salama....Km unamshkaji Dr,unamsomesha anakuletea manake havitolewi hovyo hovyo mimi kuna Mwanadamu alikuwa Idara ya Afya ndo aliniletea bt mwezi huu nilienda Angaza baada ya kuchek nilimuomba muhudumu wa anipe hata kwa kuniuzia alikuwa mkali km Pilipili....so acha woga kijana kachek afya km umekanyaga moto uanze kula Mbaazi mapema kila la Heri.
 
Kama hujiamini piga ndefu.utaudedi mbele ya dokta oohhh kitu kikija positive!!! Afu kisa cha kujitaftia ugonjwa Wa moyo au kiarusi ni nini??kula bata dalili zikianza utajua tu.Huyo mama mpge beat kua hauko tayari maana haya mambo hayalazimishwi.na pia ye akipima na we outomatical unakua umepima!
 
Back
Top Bottom