Baba Kapompo
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 1,344
- 468
kapime halafu unamwachia namba ya simu daktari utapokea sms ukiwa home...
Niambie kwanza kama ukikutwa huna utaacha michepuke ili nikupe njia rahisi.
kipo nenda phamarcy kubwa nadhani wanavyo,hata mimi demu wangu alikua anaogopa akaanza kutizamia na hako kadude ndio akapata nguvu ya kwenda hospitalWaungwana mngenijibu swal langu ningewaona wamana kwel. Hcho kifaa kpo au hakpo?
Waungwana mngenijibu swal langu ningewaona wamana kwel. Hcho kifaa kpo au hakpo?