Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa letu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ni siku sana moyo wangu unakwenda mbio sana nionapo coment za cocochanel yaan mapigo ya moyo hujikuta yanaongezeka sana
Lakin katika fatilia yangu nimegundua huyu mwanadada siyo rika langu yaan ni mkubwa sana kwangu
Alafu kitu kingine kinachonibana ni kwamba mbitiyaza anakaba had penat hivyo nashindwa kabisa kuwa huru aisee
Lait cocochanel angejua jins ninavyomzikia nahis angenionea huruma japo kidogo, lakin sasa siwez kumlaum maana hajui na sijawah mwambia kuwa namzimikia
Nimekuwa nikiandika huu uz kwa mda mrefu sana lakin joto linapanda nafuta na hapa tu huu uzi umejipost kwa bahat mbaya
Am sory
LONDON BOY