Nataman sana niwe kiben 10 cha COCOCHANEL arifuuu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa letu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ni siku sana moyo wangu unakwenda mbio sana nionapo coment za cocochanel yaan mapigo ya moyo hujikuta yanaongezeka sana

Lakin katika fatilia yangu nimegundua huyu mwanadada siyo rika langu yaan ni mkubwa sana kwangu

Alafu kitu kingine kinachonibana ni kwamba mbitiyaza anakaba had penat hivyo nashindwa kabisa kuwa huru aisee

Lait cocochanel angejua jins ninavyomzikia nahis angenionea huruma japo kidogo, lakin sasa siwez kumlaum maana hajui na sijawah mwambia kuwa namzimikia

Nimekuwa nikiandika huu uz kwa mda mrefu sana lakin joto linapanda nafuta na hapa tu huu uzi umejipost kwa bahat mbaya

Am sory

LONDON BOY
 
Chakula ya bashite hiyo
 
Coco baby ukuje huku huko tayari kweli kumlea beira baby
 
Back
Top Bottom