Natamani abadilishe kidogooo

PHP:
Nimejitahidi kama mimi mwenyewe kumfanyia mambo mengine ila ikiwa zamu  yake tu utamwona na routine yake ileile hii inanifanya nipunguze hamu ya  tendo, je nitawezaje kumwambia abadilike kama mnavyojua wanawake  tumeumbwa na aibu? hawezi nifikiria vibaya kweli! naomba niwakilishe, na  samahani kwa anaekwazika mie nahitaji ushauri jamani
Anayetakiwa kubadilika ni wewe..........usipoteze muda kubadilisha watu kwa sababu si kazi yako........................ila waweza kujirekebisha mwenyewe kwa kuridhika na upatacho.............learn the efficacy of contentment and you will rejoice ALWAYS..............
 
Hongera sana bibie umeona sasa mambo ya kunyamazanyamaza sio mazuri, unamwambia mpenzi wako nishike hapa ukisikia raha pia sema nasikia rsha mpsnzi wangu hapo atajua afanye nini.okey enjoy
 


Aaaah Shantel, kama nakuona vile mwanangu!!!!:whoo:
 
 

Shantel.....wasiwasi wako tu...mawasiliano ni tatizo kubwa sana husan kwenye mahusiano ..mkishakuwa mnahusiana hakuna haja ya kuoneana aibu hata kidogo....inawezekana hata wewe style zako unazirudia zilezile hata kama unabadilisha lakini hakuna cha ajabu,kila siku kitandani ...kwa mfano mke wangu huwa ni mtundu hasa na akigundua ninazembea huwa ananisema na kulalamika mpaka noma ..sometimes inadisturb mpaka mashine inalala ..sasa hii imenijenga nikiwa naye shughuli mtindo mmoja...na siyo lazima kitandani akienda bafuni namvamia, sebuleni nako kama wengine wamelala au wameondoka namchokoza then nakula mambo kwenye meza au sakafuni.....hata bustanini nje ya nyumba (ndani ya uzio) tunachokozana ,anainama na kushika gari then moto!......wala hakuna kujipanga saana.....ila tukipata kaupenyo tu tunachokozana na kuandaana then kitu na box...hivyo nawe siyo lazima mlale kitandani.....mkishalegezana na kulowa unachutama hata ukutani au kwenye meza au kwenye sinki la choo...ataona mhmm hii mupya...then utaona
 
Gurta si umeona nimesema nakukuruka weeee ikifika zamu yake yani anataka nirelux aanze kunipagawisha anakuja vilevile yan unaweza jisemea moyoni akitoka hapa atafanya hivi. basi ile excitement inapungua aisee


Si mchezo...............daha lucky dude!
 


...ujumbe huo kwenye kapelo otherwise, 'badilisha njia,' atakufuata tu!
 

hongera sana.
 

Unamwambia tu mie hii routine katika kunanihii imenichosha, nataka mavitu mapya ambayo hujawahi kunifanyia ili nipagawe zaidi na kama kuna vitu specific ambavyo ungependa avifanye basi unavipanga kimoja baada ya kingine.
 

Shantel unataka kumuuliza "ULIKUWA WAPI?"

hahaha kweli bwana kila siku njia ileile tu dah inachosha eti eeehhhh...sometimes muangaliage movie za kikubwa inaweza saidia kama unaona aibu...maana asije badilikia wewe umejuaje kuna style nyingine...asije hisi unacheat bure....
 
sijui kwa nini nahisi unatamani awe kama porn movies unazoangalia.
Chunga sana,
Hakuna anaeweza kuwa kama stories zote, au hata combination ya stori/movies mbili.
Huyo ni binadamu mmoja,
hawezi kubadilikika kuwa kila mtu, na akabaki kuwa yeye.
Ukichagua mtu mmoja, manake umechagua kuacha wengiiiiiiiiiiine wooooooote,
wanaoshindwa kuchagua mmoja, manajke wanashindwa kuridhika na mmoja, washindwa kujizuia kupata na style zingine wana jina lao, huwa wanaitwa malaya, au dada poa.

Japo there is room for improvement, lakini usiweke mategemeo makubwa sana.
chagua dada,

huyo mmoja mshamba au upate mastyle mengi toka kwa watu wengi

nakuhahikishia hata mkijaribu style zote kichwani mwako unazoziwaza, bado hatafanya jinsi unavyofikiria, hizo ni ndoto tu.

cha maana fanya umamuzi, kuvumilia kuwango kilichopo, au utafute watu mbali mbali wakuridhishe.

jua hata na wewe ni mmoja, tu, huwezi kuwa kila msichana aliwahi kumuona. lazima kuna vitu ameamua kuviacha vive fascination, ili awe na wewe tu. Au unadhani unampa kila kitu anachotamani kila wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…